ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
duh ndo maana sikuhizi young d full mapoda na kushinda south Africa , mara anataka kwenda Nigeria kufanya collabo na patoranking , kumbe kuna mfadhili mchimba mtaro!
Young dee meneja wake kasema anakula unga
Ha ha ha yani tunda na bwana ake wote wanalia na mtu mmoja ha ha ha nicheke kama mazuri
Kama nimekusoma vileee, khaa mjin kuna mambo, nasikia nae young dee anashare bwana na tunda yule anayejifanya demu wake mmh ni shigidaa
Hilo nilishaliona,sijui kwanini wala ngada wanajisikia sana.
Wanajikuta wajaaanja wenyewe...refer T.I.D.
#ShauriZao
Young D analiwa kiboga wakuu?
Young D analiwa kiboga wakuu?
Young D analiwa kiboga wakuu?
TID usiombe ukamfanyia interview.
TID usiombe ukamfanyia interview.
Hahahaha!ni sheeeder yule yani utajutaa
Kama ni kweli basi hongera yake kwa kuchagua anachokipenda kutoka moyoni mwake.
Young D analiwa kiboga wakuu?