ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Msanii mdogo Young Dee amejitumbukiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya aina ya bhangi na cocaine. Aliyekuwa meneja wake alisikika akimsikitikia Young Dee kwamba amejiingiza kwenye makundi mabaya ya wala unga yeye pamoja na mchumba wake mtoto wa kigogo wa polisi.
Sasa hivi Young Dee amekuwa na dharau na kebehi kwa watu waliomsaidiaga kipindi yupo kwenye dhiki. Anahitajika abadilike yeye sasa kabla ya wakati haujambadilikia.
Sasa hivi Young Dee amekuwa na dharau na kebehi kwa watu waliomsaidiaga kipindi yupo kwenye dhiki. Anahitajika abadilike yeye sasa kabla ya wakati haujambadilikia.