Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Basi hongera sana amber lulu kwa kuwa na mimba ya young dee lakini uchi wako tumeuchoka huku mitandaoni.
Alafu acha roho ya kwann utakufa na kijiba cha roho [emoji108] hovyoo
 
Sasa mimi na wewe nani mwenye wivu? Maana imekuuma kweli mimi kuwa hendisam.
Wanaume wa Dar hovyo sana, alafu kama unatafuta bwana akukune mi sio Lesbian mi nna shabab wangu ati eeh, keep ur handsome up so as Gents can see it in 3rd eye
 
Wanaume wa Dar hovyo sana, alafu kama unatafuta bwana akukune mi sio Lesbian mi nna shabab wangu ati eeh, keep ur handsome up so as Gents can see it in 3rd eye
Haya tushajua kama wewe unabwana "young dee"... Lakini ingekuwa vizuri hii energy nayotumia ku_bishana na mimi ungei_conserve na kuitumia kumshawishi uyo bwana wako akufanye uwe mke badala ya kuwa mchepuko.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeweka hiyo ili mumuone kwa karibu zaidi ,hapo kapaka ma makeup yupo hivyo, sasa vuta picha hakiwa hajajipaka make up anakuaje?
Mkuu umechangia zaid km thread imekulenga ww so unajitetea kwa nguvu zote. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu umechangia zaid km thread imekulenga ww so unajitetea kwa nguvu zote. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
najitetea tena duuuh ,
mm nachangia thread ya mtu yeyote humu sina ubaguzi kabisa hata kama mtu aliwahi nitusi sehemu akianzisha thread nitachangia yale ninayoyajua , kama nayajua mengi kuhusu thread husika basi nitachangia sana
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…