Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Sasa mimi na wewe nani mwenye wivu? Maana imekuuma kweli mimi kuwa hendisam.
Wanaume wa Dar hovyo sana, alafu kama unatafuta bwana akukune mi sio Lesbian mi nna shabab wangu ati eeh, keep ur handsome up so as Gents can see it in 3rd eye
 
Wanaume wa Dar hovyo sana, alafu kama unatafuta bwana akukune mi sio Lesbian mi nna shabab wangu ati eeh, keep ur handsome up so as Gents can see it in 3rd eye
Haya tushajua kama wewe unabwana "young dee"... Lakini ingekuwa vizuri hii energy nayotumia ku_bishana na mimi ungei_conserve na kuitumia kumshawishi uyo bwana wako akufanye uwe mke badala ya kuwa mchepuko.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeweka hiyo ili mumuone kwa karibu zaidi ,hapo kapaka ma makeup yupo hivyo, sasa vuta picha hakiwa hajajipaka make up anakuaje?
Mkuu umechangia zaid km thread imekulenga ww so unajitetea kwa nguvu zote. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kiboko yao Sanchoka Baby
5c217a23200f51f52aaeeb60807c39c8.jpg
mtoto Natural
Kiboko yao hii...Sanchoka
 
Mkuu umechangia zaid km thread imekulenga ww so unajitetea kwa nguvu zote. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
najitetea tena duuuh ,
mm nachangia thread ya mtu yeyote humu sina ubaguzi kabisa hata kama mtu aliwahi nitusi sehemu akianzisha thread nitachangia yale ninayoyajua , kama nayajua mengi kuhusu thread husika basi nitachangia sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom