brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
huyo sanchoka wenu kiboko yake hawa hapaKiboko yao hii...Sanchoka
hamna nilikuwa namsahihisha world boss na wewe huwa unaandika hivyo nini?Mkuu nmefupsha tuu....next tym nitaandika lilivyo.
Ahsante kwa kunisahihisha
naomba utuletee kiboko ya Tundahuyo sanchoka wenu kiboko yake hawa hapa
View attachment 417051 Welu Sengo
View attachment 417052Shamsa Ford
Nahisi nilipaniki mkuu. Samahani!!!hamna nilikuwa namsahihisha world boss na wewe huwa unaandika hivyo nini?
ha ha ha usijaliNahisi nilipaniki mkuu. Samahani!!!
Amber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhaminiwanafanana style ya nywele au?!
na atafika Mbali wapi huko?!
Haikua na ulazma WA kuongea maneno kama hayo kwenye MediaApo chacha!!
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
Ukweli
wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee
kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen
kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu.
Akiongea na U-Heard ya Clouds FM, Amber Lulu amefunguka
ukweli kwa kusema kuwa amekuwa na mahusiano na rapper
huyo kwa tangu miaka minne iliyopita wakati akiwa mkoani
Mbeya.
“Marafiki zangu wanajua ni jinsi gani nilivyokuwa naishi
naye, mara ya mwisho alikamatwa na polisi mimi ndio
nilienda kumtoa ndugu zake wote walikataa kwenda, Mimi
nimeenda. Matatizo yangu yeye anayafurahia ina maana.Sikuwa nimefanya vile kwa kuwa alikuwa ni mpenzi wangu ni
mtu ninayemfahamu siku nyingi na ambaye tupo wote,”
amesema Amber.
Dem mwenyewe hata me nikitaka napiga hata sasaYaan we acha tu kijana sijui macho yake yana matege ,ila navyoona kwa kuwa huyo msichana ni cheap sana akaone ngoja akaoshe rungu kidogo kashindwa kumliki Tunda huyo ana hela
bado umeng'ang'ania tu.. alafu hata uelewi Kwanza hawajafanana kabisa ila kinachotokea huyu lulu kapunguza nywele zake kama Amber Rose alafu kaziweka dawa kama Amber Rose alafu akajibatiza jina la Amber Rose nothing moreAmber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhamini
Ukweli ni huu hapa...bado umeng'ang'ania tu.. alafu hata uelewi Kwanza hawajafanana kabisa ila kinachotokea huyu lulu kapunguza nywele zake kama Amber Rose alafu kaziweka dawa kama Amber Rose alafu akajibatiza jina la Amber Rose nothing more
Mnachuki tu wakuu.Ukweli ni huu hapa...
bado umeng'ang'ania tu.. alafu hata uelewi Kwanza hawajafanana kabisa ila kinachotokea huyu lulu kapunguza nywele zake kama Amber Rose alafu kaziweka dawa kama Amber Rose alafu akajibatiza jina la Amber Rose nothing more
Kasoro kichwa tu...ila wamefanana akili.Amber lulu anafanana sana na Amber rose. Wakipatikana wakubwa wa kumuwezesha atafika mbali sana
Ndie huyo huyo mkuu..yule ambae yupo kwa pikipiki na harmonizeNd huyu video queen wa inde?
Namuona Amber Lulu mwenye mafanikio makubwa sana baadae soon akipata mikataba na makampuni wadhaminiDuh mbn kapo fresh mkuu
FactNamuona Amber Lulu mwenye mafanikio makubwa sana baadae soon akipata mikataba na makampuni wadhamini