Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Kiboko yao hii...Sanchoka
huyo sanchoka wenu kiboko yake hawa hapa

1476306870952.jpg
Welu Sengo

1476306887324.jpg
Shamsa Ford
 
  • Thanks
Reactions: MC7
wanafanana style ya nywele au?!
na atafika Mbali wapi huko?!
Amber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhamini
 
Apo chacha!!

Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
Ukweli
wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee
kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen
kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu.

Akiongea na U-Heard ya Clouds FM, Amber Lulu amefunguka
ukweli kwa kusema kuwa amekuwa na mahusiano na rapper
huyo kwa tangu miaka minne iliyopita wakati akiwa mkoani
Mbeya.

“Marafiki zangu wanajua ni jinsi gani nilivyokuwa naishi
naye, mara ya mwisho alikamatwa na polisi mimi ndio
nilienda kumtoa ndugu zake wote walikataa kwenda, Mimi
nimeenda. Matatizo yangu yeye anayafurahia ina maana.Sikuwa nimefanya vile kwa kuwa alikuwa ni mpenzi wangu ni
mtu ninayemfahamu siku nyingi na ambaye tupo wote,”

amesema Amber.
Haikua na ulazma WA kuongea maneno kama hayo kwenye Media
 
Yaan we acha tu kijana sijui macho yake yana matege ,ila navyoona kwa kuwa huyo msichana ni cheap sana akaone ngoja akaoshe rungu kidogo kashindwa kumliki Tunda huyo ana hela
Dem mwenyewe hata me nikitaka napiga hata sasa
 
Amber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhamini
bado umeng'ang'ania tu.. alafu hata uelewi Kwanza hawajafanana kabisa ila kinachotokea huyu lulu kapunguza nywele zake kama Amber Rose alafu kaziweka dawa kama Amber Rose alafu akajibatiza jina la Amber Rose nothing more
 
Ukweli ni huu hapa...
 
Ukweli ni huu hapa...
Mnachuki tu wakuu.
Amber lulu akipata wadhamini na mikataba siku moja mtamsahau. Huyu binti akiwezeshwa anaweza seriously

Back
Top Bottom