Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Amber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhamini
Support ya kufanya nini? Yaani tumsupport katika kazi ipi?
 
Uyo amber wa Marekani ...so msaada picha Wa kibongo sie wengne hatumjuii tujionee.
 
Young d kunakipindi aliopoa mtoto mzuri wa kishua anaitwa pvcambo yuko poa sana naona atakuwa kampiga chini ndo kaopoa huyo amber rose ila naye yupo bomba
Huyu manzi mbona Manido yake yameshuka!
Nayaona yapo tumboni.
 
Huyu manzi ni mbovu kinoma..basi hata angekuwa na tako kubwa basi la kuringia lakini wapi..[emoji51][emoji51]
 
hana chogo bn ila ana sura mbaya halafu anajirahisi sana ndo maana watu wanamuona cheap
 
Wanyakyusa ndivyo walivyo sura mbaya lakin wamejaliwa matako...
 
Aerio vyu ya mrembo wetu kwa hisani ya picha za setelaiti
 
We jamaaa hauko timamu chogo mkuki yule kafanana na amber rose????
Chogo ni maumbile!halimzuii kuthubutu

Nitafutie Afrika mashariki na kati angalau anaeendana na swagga za Amber rose kama si amber lulu. Bado anahitaji sapot ya kutosha kutoka kwa watanzania, mikataba na makampuni atafika mbali sana. Tanzania tupo nyuma kuwawezesha watu km hawa wanaoonyesha nia na malengo lkn tupo mstari wa mbele kuwarudisha nyuma wote wanaotaka kuthubutu.
 
Amber Lulu kama anaugonjwa wa kutetemeka.. hawezi kutulia kabisa, anaonekana mgonjwa mgonjwa...
 
Dah kwan hili jukwaa ni la kutukana watu na maumbile yao?!!!.....kama tunajadili tujadili bila kutukana bwana....mbona wapo watu wenye kasoro katika miili yao kuliko huyu dada wengi wao wanasahidiwa na hayo manywele bandia wanayoyavaa,kama anascendo ziwekeni wazi sio kuanza mchafua kwa maumbile yake....mm simjui kama kuna mwenye picha atupie kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…