Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
- Thread starter
- #261
Amber lulu hana uzuri wakumfikia amber rose na wala hawafanani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Support ya kufanya nini? Yaani tumsupport katika kazi ipi?Amber lulu anajitahidi sana kufanana na Amber rose kwa Africa mashariki na hakuna wa kumfikia kwa sasa. Sema bado anahitaji support ya kutosha kutoka kwa watanzania na wadhamini
umemaliza?
Amber lulu hana uzuri wakumfikia amber rose na wala hawafanani.
Huyu manzi mbona Manido yake yameshuka!Young d kunakipindi aliopoa mtoto mzuri wa kishua anaitwa pvcambo yuko poa sana naona atakuwa kampiga chini ndo kaopoa huyo amber rose ila naye yupo bomba
![]()
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kaacha mtoto mkare kabisa kaja kachukua kichwa mkuki.
Acha dhambiHuyu manzi mbona Manido yake yameshuka!
Nayaona yapo tumboni.
poaAcha roho mbaya chalii,usipende kukosoa wenzako na wakati ww mwenyewe haujajiona kwa kioo
We jamaaa hauko timamu chogo mkuki yule kafanana na amber rose????Amber lulu anafanana sana na Amber rose. Wakipatikana wakubwa wa kumuwezesha atafika mbali sana
Ukifunguliwa toka kifungoni nistue Diva Beyonce halafu unambie ulikosa nini?Amber na gigy wana sura nzito hataree tena amber ndo kazidi hapo ajiona Beyonce
humjui amber lulu wewehana chogo bn ila ana sura mbaya halafu anajirahisi sana ndo maana watu wanamuona cheap
Chogo ni maumbile!halimzuii kuthubutuWe jamaaa hauko timamu chogo mkuki yule kafanana na amber rose????
Hahah!!Aerio vyu ya mrembo wetu kwa hisani ya picha za setelaiti View attachment 417718