Young Dee ndani Ya USA

Young Dee ndani Ya USA

Kuna member ali comment sehemu kwamba kuwekwe tozo kwa kila thread mtu akitaka kupost
 
Hii mitandao inadhalilisha sana Watu. Anybody can throw anything to anybody, no need of proof.

Kuna Kijana mmoja mtangazaji alishawahi mara kadhaa kutuhumiwa lakini kuna siku mmoja wa ndugu zangu akaelezwa na mmoja wa Wafanyakazi wenzie na huyo mtuhumiwa namna tuhuma zilivyoanza!

Kikulacho kiungoni mwako, ukifanikiwa ni wachache sana watakusema vizuri. Kama hufahamiki mjini utapewa sifa za mwizi, freemason nk. Ukiwa Mwanamuziki au mtangazaji wa kiume tuhuma ya haraka ya kukuchafua ni ushoga.

Sisemi hakuna machafu lakini sisi Wabongo tunajuana. Hakuna Mtu atafanikiwa bila kupewa sifa mbaya na nyingi uzushi tu.
Njia rahisi ya kumdhalilisha mwingine imekua ni kuzushiwa ushoga.

Na sijui ukishamdhalilisha mwingine unanufaika vipi.
 
Hii sio account ya soudy brown kweli?
 
Back
Top Bottom