Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ni sifa kuu ya mtu mwenye stress na amekata tamaa.Don't turn yourself a character assassin.
Shoga hudhani kila mtu ni shogaNawe warumi kila celebrity unaemleta hapa basi ni Shoga?? sio powa kabisa
Ni sifa kuu ya mtu mwenye stress na amekata tamaa.
Njia pekee ya yeye kupata relief ni kuwatupia watu matope hata kama hawajamkosea.
Nikimbushe bro, hii ni mithali ngapi??"Wivu hukaa kifuani mwa mtu mjinga"
Aseeh atakujia juu kama moto wa kifuu 😂😂Na yeye pia ni shoga
Njia rahisi ya kumdhalilisha mwingine imekua ni kuzushiwa ushoga.Hii mitandao inadhalilisha sana Watu. Anybody can throw anything to anybody, no need of proof.
Kuna Kijana mmoja mtangazaji alishawahi mara kadhaa kutuhumiwa lakini kuna siku mmoja wa ndugu zangu akaelezwa na mmoja wa Wafanyakazi wenzie na huyo mtuhumiwa namna tuhuma zilivyoanza!
Kikulacho kiungoni mwako, ukifanikiwa ni wachache sana watakusema vizuri. Kama hufahamiki mjini utapewa sifa za mwizi, freemason nk. Ukiwa Mwanamuziki au mtangazaji wa kiume tuhuma ya haraka ya kukuchafua ni ushoga.
Sisemi hakuna machafu lakini sisi Wabongo tunajuana. Hakuna Mtu atafanikiwa bila kupewa sifa mbaya na nyingi uzushi tu.
Sasa huu ubuyu fake kwanini asiwapelekee hao ambao anasema ana muda nao??Akwendreeeeeeeeeeeeeeeeee, kwanza huyo anasema hana muda na sisi ana muda na mastaa