Young Dee ndani Ya USA

Nimependa comments za wadau.
Ni kumpa mtu makavu live.

Muda mwingine ni vizur Tu kusikiliza na kukaa kimya kuliko kupinga vitu ambavyo hamvijui, ndio maana nikaitwa warumi , naipenda kazi yangu na siku zote mmekua mkiniamini kwenye sekta hii ya umbea

Itafika kipindi mambo yote yatakua hadharani , mtasema tu , warumi alituambia, lol
 

Tatizo moyo , moyo ukipenda hata benz utatoa tu , moyo unapenda unachopenda
 
Nakwambiaje anajifariji kwamba shoga sio pekee yake

Mkiwa mnapenda umbea muwe mnavumilia, sio kupenda kusikia habari chafu za wasanii msiowapenda, Ila mkisikia habari chafu za wasanii mnaowapenda basi mnaanza ooh uzushi, Mara uongo, nyie wenyewe mnajua mioyoni mwenu kuwa warumi huwa hadanganyi
 
Sasa huu ubuyu fake kwanini asiwapelekee hao ambao anasema ana muda nao??
Hii kiukweli ni mizinguo! Alianza na Ben pol, Kaja idriss sultani, Kaja kwa young dee sasa

Duh Ila na wewe kiboko , Sasa kama unajua nadanganya na wewe kabisa bado tu unaendelea kusoma thread zangu ? Basi mwenzetu utakua na matatizo makubwa sana kwenye ubongo

Tatizo warumi huwa hatagi watu , ni nyie tu na umbea wenu , kwan inachukua kiasi gani kusoma na kupita tu kama habari haikuvutii? Mie Ndo warumi , utake usitake utanisoma tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama uzi wako umeandika ukweli Mimi siwezi pinga! ila achaga uongo wewe.
Ntakwambia tena na tena ukizingua. ntakupiga tukio kama chibu πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kumbuka aliyeandika ni warumi , the credible gossip source of all the time in jamii forum , undisputed aka warumi the great
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kama uzi wako umeandika ukweli Mimi siwezi pinga! ila achaga uongo wewe.
Ntakwambia tena na tena ukizingua. ntakupiga tukio kama chibu [emoji23][emoji23]

Sasa Mimi nimekutajia mtu anayelala na young dee, isitoshe mpaka anapokaa , mpaka picha nikaleta wa huyo jamaa wa UN, Sasa nianze tu kumchafua mtu mkubwa hivyo bila sababu ?

Ebu nikuulize, young dee anakaa wapi ?, na Gari kapewa na nani ? Na US kampeleka nani , je unajua yote hayo ? Kama hujui tulia nikujuze basi
 
"Freemanary In progress" wanapelekwagwa huko for blood birth and Sodom akirudi nyota inang'aa hatari
 
Nasema tuu asante sana. Hayo mengine baki nayo..
πŸƒ πŸƒ πŸƒ
 
Mbona sio wote wanaopewa hizo tuhuma
 
Hawa wote aliowataja ni kweli, hakuna aliyekosea.. But mi sioni haja ya kumlaumu, if you are not intrested to know, you think it's a waste of time, or you don't believe in authenticity of the information unapita tu pembeni... Unaingia kwenye thread I Ayo ku intrest...
Sasa huu ubuyu fake kwanini asiwapelekee hao ambao anasema ana muda nao??
Hii kiukweli ni mizinguo! Alianza na Ben pol, Kaja idriss sultani, Kaja kwa young dee sasa
 
Mafirauni walikuwepo toka enzi za BC, na walikuwa wanalelewa na bwana zao vizuri... Sioni cha kushangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…