Young Dee_ Bongo Bahati Mbaya (BBM)..!

Dogo namkubali sana. Ila katika hao mavideo Queen angekuwepo mtoto mwenye ngozi nyeusi video ingenoga vizuri
 
Yupo vizur ila naona melod zake na style zipo the same kama vile ngoma yake ya furaha
 
Bonge moja ya ngoma.....Akitulia anaweza kutengeneza Asali.
 
Young Dee mkali. Lakini nategemea haters lazima watatafuta njia ya kuponda tu.
 
Kunahaja yakupeleka vijana woote jkt kabisa,yaani linasemabeti bongo bahati mbaya?ahamie sasa huko ambako sio bahatimbaya
 
Kunahaja yakupeleka vijana woote jkt kabisa,yaani linasemabeti bongo bahati mbaya?ahamie sasa huko ambako sio bahatimbaya
Wewe itakuwa yule mwalimu Mp mnoko wa Pale Jkt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…