Young Dee_ Bongo Bahati Mbaya (BBM)..!

Dogo namkubali sana. Ila katika hao mavideo Queen angekuwepo mtoto mwenye ngozi nyeusi video ingenoga vizuri
ndio maana me najivunia wangu.kama mkaa. kwenye giza naona meno tu
 
huyu dogo hata aimbe nini sijui simwelewagi kabisa ..yan jinsi anavyoimbaga kabana sauti siwezi sikiliza hata kwa sekunde yani
 
Huu ndio wimbo unabang kwa sasa nikiwa kwenye kibaby walker changu bila kusahau karorero wa Q Boy
 
Huu ndio wimbo unabang kwa sasa nikiwa kwenye kibaby walker changu bila kusahau karorero wa Q Boy

Qboy nilijua ni mnyarwanda, alivyoimba mugacherere, ni mbongo?

Halafu baada ya kutoka wasafi naona kawa huru na furaha pia kapata nafasi ya kufahamika
 
Qboy nilijua ni mnyarwanda, alivyoimba mugacherere, ni mbongo?

Halafu baada ya kutoka wasafi naona kawa huru na furaha pia kapata nafasi ya kufahamika
Yap, alipotoa mugacherere nilijua kabebwa na wenzake, ila huu mpya kasimama vizuri pekeyake, nadhani unamtambulisha rasmi kama msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…