Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah akanyalikeeKunahaja yakupeleka vijana woote jkt kabisa,yaani linasemabeti bongo bahati mbaya?ahamie sasa huko ambako sio bahatimbaya
Yeah mkuuDah.. Ngoma iko poa..!
[emoji23] [emoji23] wa kambi ganiWewe itakuwa yule mwalimu Mp mnoko wa Pale Jkt
Kijana anataka maisha ya kinyamweziNyimbo nimeielewa ipo swafi
ndio maana me najivunia wangu.kama mkaa. kwenye giza naona meno tuDogo namkubali sana. Ila katika hao mavideo Queen angekuwepo mtoto mwenye ngozi nyeusi video ingenoga vizuri
hamorapa katoa kitu.. mzeiyaaaBonge moja ya ngoma.....Akitulia anaweza kutengeneza Asali.
Makutupola mkuu[emoji23] [emoji23] wa kambi gani
Kijana wa kajunjumele alafu anasema BBM
Huu ndio wimbo unabang kwa sasa nikiwa kwenye kibaby walker changu bila kusahau karorero wa Q Boy
Yap, alipotoa mugacherere nilijua kabebwa na wenzake, ila huu mpya kasimama vizuri pekeyake, nadhani unamtambulisha rasmi kama msaniiQboy nilijua ni mnyarwanda, alivyoimba mugacherere, ni mbongo?
Halafu baada ya kutoka wasafi naona kawa huru na furaha pia kapata nafasi ya kufahamika
Hahah nilipalilia zabibu paleMakutupola mkuu
Gwa kokaja ojo....mwakyelaKwa Mwakisopile
Gwa kokaja ojo....mwakyela
MwehHata mimi Ni BBM[emoji26][emoji26]
bahati mbaya tu nimezaliwa Tz.