Young entrepreneurs in tz

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio ktk umri mdogo atleat wasiwe wamezidi 40 years hivi, hawa vijana watasaidia kuwainspire wengine wanaochipukia na mambo kadha wa kadha..mfano yule ngowi wa solar nk.

Ninachoomba ni majina yao kama unawajua na contacts zao kama unazifahamu na business wanayofanya pia.

Natanguliza shukrani
 
Mnataka kupandia mgogoni mwetu etii...! Wacha hizo mambo kwanini mtafute walifanikiwa tafuteni wanaoanza ndiyo weengi waliofanikiwa wanini? Msaada unahitajika kwa walio shindwa acha ujanjaujanja...
 
May be hujanipata nataka nini.nimesema kuna event so kama mtu hatapenda kushiriki hawezi kulazimishwa nasifikiri kama haupo interested kwanini ujiinvolved so si lazima..na siwezi kupitia migongo ya watu kwa kipi hasa..so haulazimishwi kutaja au kujitaja baba sawa?..nimeweka hapa ili kupata majina mengi ya waliofanikiwa fani mbalimbali nchini kuliko kuwa na list kidogo ambayo inaweza kutofikia lengo.

Kama wewe unatazama sana tv kuna kipindi kipo k24 kinaitwa young reach! Nafkr ukikiona unaweza kupanuka mawazo..usiwe na mawazo yaleyale kila siku.thanks
 
unaona sasa kipindi mara sijui wapi be creative mama dunia copy and paste ni hatari kwa uwezo wa kizazi cha leo hasa kwa mmbo ya kufikiria acheni uvivu ebu bubi na kuwa watafi acha uzembe wa kutumia ubungo!
 
unaona sasa kipindi mara sijui wapi be creative mama dunia copy and paste ni hatari kwa uwezo wa kizazi cha leo hasa kwa mmbo ya kufikiria acheni uvivu ebu bubi na kuwa watafi acha uzembe wa kutumia ubungo!

Sio kipindi.hapo nimekupa mfano tu kuwa hakuna kuficha.unaficha nini kama mtu kafanikiwa.kuwa open wengine wajifunze toka kwako..na kutapeliwa unaweza kukutaka we mwenyewe mi huwa nashanga mtu unatapeliwa.utatapeliwaje decade hii..
 
ingekua vizur ungeanza na wasio nacho kwa kutoa strategies za kuwa entreptreneur, how to utilize local available resources, jinsi ya kutambua opportunities zilizopo, hii workout zaidi hata akina the need kutokata tamaa ya maisha.
 
Kufanikiwa ni nini, kunapimwaje?

Niliyekuwa nakata mkaa nikinunua chainsaw ni mafanikio, mnahitaji namba yangu?

Mchuuzi wa bidhaa za nje anaeendeleza soko la ajira za nje na kutupunguzia fedha za kigeni kwa kutuletea solar power, tunaweza kumwita mfanikiwa zaidi ya yule anayezalisha ndani katoa ajira na kuokoa fedha za kigeni japo huyu wa mwisho ana suti chache kuliko wa kwanza?
 

Kwasasa tunaandaa hayo majina then yatafanyiwa upembuzi kuona hayo mafanikio yamekujaje na kama ataweza kuwainspire wengine wanaochipukia..idea yako ni nzuri tu..sasa ndo utuambie contacts na mambo yaliyofanywa nk nadhani umenipata.na sio lazima awe famous au bilionea hapana.
 
Tanzania kuna shida kwenye kudefine mjasiriamali, kuna watu ni wafanya kazi na wana biashara zao. pembeni still wanaitwa wajasiriamali. Huyo Ngowi anafanya uchuuzi wa solar, je mchango wake kwa uchumi wa Nchi ni upi? Tafuteni watu wanao au walio ibadilisha Tanzania, na kama hawapo basi si vibaya kuchukua wachuuzi.
 
Ni kweli unacho sema.
 
Ni kweli wachuuzi wanaitwa wajasiriamali. Kama ni hao mbona wapo wengi tu hapo kariakoo? Eti mtu auza solar, ambazo anaagiza nje, hajawahi hata kumodify hata kufanya value addition kidogo achalia mbali ku invert product nae tunamwita mjasiliamali.

Labda mama dunia ungeanza kuweka sifa za watu unaowahitaji ili tujue ni watu gani unawataka. Tutakusaidia.
 
Iyo event naisubiri kwa hamu, Sory mama dunia yule kungwi maarufu au(anyway tuyaache hayo mana hua Kuna Mama dunia namskia sana PILLOW TALK)...nasubir event na kuhusu Young Entrepreneur bado na search
 

Hamtaki volunteers maana ajira zimekuwa tabu.
 
mama dunia ana idea nzuri ila wabongo kutwa tumejaa criticism kwanza kaomba contacts wengine mnaingia mpaka kwenye plans zake who the heck are you by the way...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tatizo wajasiriamali hakuna, nchi imejikita kwenye ku import that is why, na sijajua mafanikio yanapimwa vipi, huyo jamaa anakuzwa tu, hana yofauti na wakina Benson wa Arusha ila mbona yeye hapewi promo? Tueleze mchango wa huyo ngowi kwenye uchumi wa nchi, Wabongo mnapotea sana kwa ishu za kujikita kutafuta sifa. Kenya kwa sasa wanajiandaa kuchukua maduka ya shoprite ya Tanzani, wa bongo mmelala sana sema hamjui kama mmelala, ila ukweli ndo huo.
 
Iyo event naisubiri kwa hamu, Sory mama dunia yule kungwi maarufu au(anyway tuyaache hayo mana hua Kuna Mama dunia namskia sana PILLOW TALK)...nasubir event na kuhusu Young Entrepreneur bado na search

Kumbe unamjua eehhh anajua kazi sana yule mama namkubali hehe
 
yaani hapa kinachohitajika ni mtu ambaye kapata mafanikio ambayo hakuwa nayo hapo kabla kwanjia za biashara katika nyanja mbalimbali,,,mfano chukulia mwaka 2010 ulifungua kampuni yako ya BIMA au clearing and forwarding au ulianzisha shamba kubwa au manufacturing/plant u can name it, sasa 2013 umeweza mfano kuajiri watu 30 na mtaji wako umekuwa labda ulipoanza ulianzia 2 mil sasa hivi may be ni 500 mil nk, yani ndo wanahitajika watu aina hiyo--naona sasa ipo clear..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…