mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio ktk umri mdogo atleat wasiwe wamezidi 40 years hivi, hawa vijana watasaidia kuwainspire wengine wanaochipukia na mambo kadha wa kadha..mfano yule ngowi wa solar nk.
Ninachoomba ni majina yao kama unawajua na contacts zao kama unazifahamu na business wanayofanya pia.
Natanguliza shukrani
Ninachoomba ni majina yao kama unawajua na contacts zao kama unazifahamu na business wanayofanya pia.
Natanguliza shukrani