Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
mama dunia, mafanikio kwa kigezo kipi?Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio...i
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama dunia, mafanikio kwa kigezo kipi?Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio...i
Ukiona hivyo ujue kuna kitu mtu hawezi fanya kaz za bure,
Ila ushauri wangu ni kwamba jikiteni kwenye kupiga kazi
Mimi namfahamu kijana mmoja yeye ni mfanyabiashara mkubwa sana na kutoka kuajiriwa kama muuza duka la vifaa vya ujenzi hadi kuwa boss anayemiliki biashara kubwa za maduka ya ujenzi na nyumba za maana za biashara(ghorofa).Hata hivyo hab ari za watu wake wa karibu zinasema alitoa kafara kama sharti la kupata utajiri!swali;je huyu ana vigezo vya kuwepo kwenye project yenu?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nitumie details za hiyo event maana kwa maelezo yako tuna qualify lol 🙂yaani hapa kinachohitajika ni mtu ambaye kapata mafanikio ambayo hakuwa nayo hapo kabla kwanjia za biashara katika nyanja mbalimbali,,,mfano chukulia mwaka 2010 ulifungua kampuni yako ya BIMA au clearing and forwarding au ulianzisha shamba kubwa au manufacturing/plant u can name it, sasa 2013 umeweza mfano kuajiri watu 30 na mtaji wako umekuwa labda ulipoanza ulianzia 2 mil sasa hivi may be ni 500 mil nk, yani ndo wanahitajika watu aina hiyo--naona sasa ipo clear..
Kufanikiwa ni nini, kunapimwaje?
Niliyekuwa nakata mkaa nikinunua chainsaw ni mafanikio, mnahitaji namba yangu?
Mchuuzi wa bidhaa za nje anaeendeleza soko la ajira za nje na kutupunguzia fedha za kigeni kwa kutuletea solar power, tunaweza kumwita mfanikiwa zaidi ya yule anayezalisha ndani katoa ajira na kuokoa fedha za kigeni japo huyu wa mwisho ana suti chache kuliko wa kwanza?
Sidhani kama atakuelewa, huyu naona anatafuta watu "wenye pesa" na si wajasiriamali wabunifu waliofanikiwa. Tuachane na mawazo hasi ya kuangalia tu kwamba anamiliki biashara ya bilioni ngapi wakati bado ni mchuuzi tu, Tanzania inahitaji vichwa vyenye kujikita kwenye uzalishaji zaidi, lakini ujanja ujanja na sanaa vilishazoeleka kuanzia kwa waandaaji wa seminar za ujasiriamali wanaandika project na kupiga pesa kisha wanaandaa seminar na kufundisha vitu vya nadharia sana wakati wao hakuna walichokifanya! Hapa bongo kila mtu anaangalia fursa ya kupiga pesa, hata huyu mama ukimuuliza incentive nyuma ya hiyo project na nani anafund utaskia stori nyiiingi! Vijana wapo wenye mawazo original wamejichimbia kwenye uzalishaji wako bize, nadhani utawapata mapapaa wanaopenda show off; nadhani anza na Shigongo, nenda ya yule mhaya ya Clouds, hao watawaita wenzao kibao wanafahamiana.
Ingawa siamini sana katika ushirikina ila naskia upo,,labda wengine washauri pia
CYBERTEQ comment yako ni nzuri isipokuwa name calling kama hii sio afya.
Mkuu umeongea ukweli tupu, Watanzania waache show wajikite kwenye uzalishaji, haya mambo ya sijui events hayatawatoa kamwe, ni kweli huwa siku zote nawaona hao wakina Shigongo na jamaa wa Clauds kwamba ndo Wajasiriamali walio fanikiwa, Bongo ni nchi ya wapenda sifa sana.
I get you! Concern yangu ni kuwa anaweza take it personal!Mkuu kwani ni siri, sijamsema kwa baya lolote, ni kweli jamaa wamefanikiwa lakini hawawezi kuwa mfano kwa mtu yeyote! We need professionals Mkuu, wenye kujua nini wanafanya, ambaye akipanda jukwaani watu nyoyo zinawagusa, si wajanja wajanja wa kutumia "fursa" then unawakusanya kwa sababu unawajua ni maarufu watakusanya watu, lakini mwisho wa siku what do we achieve?!!!
Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio ktk umri mdogo atleat wasiwe wamezidi 40 years hivi, hawa vijana watasaidia kuwainspire wengine wanaochipukia na mambo kadha wa kadha..mfano yule ngowi wa solar nk.
Ninachoomba ni majina yao kama unawajua na contacts zao kama unazifahamu na business wanayofanya pia.
Natanguliza shukrani