Young killer apotezwa kinoma mwanza mwanza

Young killer apotezwa kinoma mwanza mwanza

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Ni dhahiri sasa watu wa mwanza wameamua kaz kuna wasanii ambao kwa sasa ni tishio na wote ni kutoka mwanza mwanza hata redion wanachukua air time za kutosha

Na kwa hapa mwanza ule ufalme aliokuwa nao young killer sasa umepotea na amepotezwa mbali sana na vijana hawa wanaofanya mziki wa rap

MANENGO kwa sasa huyu dogo kaachia ngoma yake ambayo ni shida mjin inayokwenda kwa jina la mbinde
Young-Rafa-Umbali-cover.jpeg


NCHAMA THE BEST huyu mshika ni noma aisee ni tabu na homa ya jiji kaachia ngoma mpya ambayo kamushilikisha duly skys unaweza kuingia you tube kuichek
Nchama%2BThe%2BBest%2BFt.jpg


COYO huyu ni funiko ambalo haliwez kumuacha salama marapa fake mjipange kinoma jamaa ni hatar ana hit song kama vile ZIWAFIKIE pia saiv kaachia ngoma mpya inaitwa ITAKUCOST unaweza ingia youtube kuichek ni balaa
Coyo-itakucost.jpeg


Yaab kwa kifupi kwa sasa mwanza inatisha kwa marapa na hakuna tena mkoa wa kulinganisha nao

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Ndiyo kwanza nawaskia kutoka kwako... weka video
 
Hebu lilipia hayo matangazo mkuu.........!!!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni mtazamo wako lakini sikupingi...tusapoti wote tuache utimu
 
Kama watu huku hawajawajua bas bado sana hao kwa young killer msodoki,
Siku wakiweza kuandika mashairi hata robo ya young killer bas ntaanza kuwasapot,

Kushindana na young kila ktk umri ule kuandika mashair yale mpe heshima yake
 
Jambaz jalibu kuingia YouTube uwachek

Post sent using JamiiForums mobile app
You're not serious!! Yaani umeandika yote hayo na mapicha juu lakini unashindwa kuweka link?!

Industry imefurika jombaa... ni wachache sana watakaofanya kazi ya kuingia Google ku-search jina la msanii ambae hajawahi kumsikia hata mara moja!!!! Hata Apple na Samsung ambao bidhaa zao zinafahamika kila kona bado hawawezi kuweka tangazo la new product wakakuambia ukitaka kuiona, ingia Google au Youtube!!!
 
Back
Top Bottom