Young killer atupa wimbo wa vijembe wa aina yake kwa Lunya ndani ya Sinaga Swaga 6

Young killer atupa wimbo wa vijembe wa aina yake kwa Lunya ndani ya Sinaga Swaga 6

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Ni baada ya maneno mengi ya mipasho kutoka kwa muimba taarabu iliyochangamka a.k.a young lunya au mbuzi Kama anavyojiita yeye kwenda kwa young killer msodoki.

Naona this time around killer ameamua kujibu vijembe hivyo ndani ya sinaga swaga 6, kwa kumuonya na kumuambia hana uwezo wa kukaa ligi moja na yeye.

Msodoki Young Killer - Sinaga Swaga No 6_IKMZIKI.jpg


Nini maoni yako Scars ,makaveli10,uroto
 
Lunya anapiga makelele tu nyuma ya mic, hajui kuchana sometimes hata vina anaunga unga tu ilimradi dakika zisogee
 
Lunya endelea kuwapelekea moto.

Endelea kunata na beat..

Young Killer anachorap these days ni hata hakieleweki
 
Sasa Lunya nae anaimba nn? Amuache msodokiiiii wetuu, hamuweziiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo ni freestyle session 6, sio Sina swaga vol 6. Kama ilivyowekwa hapo.

Ila hajui kudis huyu killer, lunya amemchakaza
 
Back
Top Bottom