Young killer: Chief kiumbe akinipa ndinga Sikatai

Young killer: Chief kiumbe akinipa ndinga Sikatai

Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda maisha ya shida au ya chini

Young Killer alisema haya kupitia kipindi cha eNEWS na kusema kuwa yeye kuwataja madoni kwenye wimbo wake haina maana kuwa amewashawishi ili wampe kitu, bali amefanya hivyo kwa mapenzi yake mwenyewe na kudai hata kama ikitokea kweli akapewa ndiga haiwezi kukataa.

Mbali na hilo Young Killer amesema kuwa moja ya sababu kubwa kuwataja majina watu hao ni kwasababu wamemsaidia kimawazo, kwa kipindi ambacho alikuwa kimya hivyo amefanya hivyo kama kuwakumbuka na kuweka kumbukumbuka kwa kile walichomsaidia.
Chief kiumbe ni mwislam na kwa sasa yuko katika funga. Hivyo hawezi kukupa gari kwa sababu utamshindisha njaa.

Mkumbushe akimaliza funga. Lakini sidhani kama anatumia hilo tangazo la jaza ujazwe.
 
Kweli game ngumu dogo anatangaza biashara..
Duh kidume unasubiria kuhongwa anazan ni fre linda atahusuka yangu macho
 
yangi killa jibu lake limejaa ukakasi sana!
 
Laini laini a.k.a. usinilaumu maishalaha mtoto kabarikiwa killer ila hajawai ku kill hata mbu
 
We jamaa thread zako nyingi zina chembechembe za haya mambo, sijui vipi wenzetu?
 
Back
Top Bottom