Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii Young Killer amefunguka hayo alipohojiwa na e newz, na kudai kuwa bongo fleva kuna mafanikio na wanalipwa hela nyingi ndio maana wana bifu, tofauti na Hip hop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasomi historia au hatuna maktaba ya Taifa ya muziki!??Alikuwa hajazaliwa kipindi East Coast wanaminyana na TMK, sio kosa lake
Watoto wadogo wanajifanya wanajua kilakitu badala ya kuuliza wakongweHasomi historia au hatuna maktaba ya Taifa ya muziki!??View attachment 440767
Kuna mambo mengi kama taka hiziWatoto wadogo wanajifanya wanajua kilakitu badala ya kuuliza wakongwe
kipindi hicho hata bongo fleva haikuwepo....Alikuwa hajazaliwa kipindi East Coast wanaminyana na TMK, sio kosa lake
halafu wanaita hip hop singeli...shenzi zao kabisakipindi hicho hata bongo fleva haikuwepo....
Duh,singeli imekua hip hop tena?,navyojua singeli,mnanda na taarab ni chama mojahalafu wanaita hip hop singeli...shenzi zao kabisa
Mkuu enzi hizo ulikuwa mkoa gani?!kipindi hicho hata bongo fleva haikuwepo....
Zamani kulikuwa na Afande Sele Vs O-Ten, Kikosi cha Mizinga Vs Nako2Nako,Sir Nature Vs Inspekta Haroun, Zay B Vs Sister P, n.kHuyu dogo arudi tu kwa producer wake Mona Gangsta aombe msamaha amrudishe kwenye label.
maana siku hizi mziki amna kitu anapiga kelele.
Inabidi Nikki Mbishi anavyogombana na Weusi ile sio beef?
Vipi kuhusu Joh Makini na Fid Q?
Nikki Mbishi vs Ney wa Mitego?
Wakazi na Adili chapakazi?!
Au anadhani beef lazima uweke instagram na liwahusu Diamond na Ali
Huyo ni stamina mkuu sio huyu.Huyu MTT na mistari ile ya George anakwenda bush bora asizungumzie hip hpo kabisa!