Young Killer: Hip Hop hawana bifu kama bongofleva kwa kuwa hawana mafanikio

Young Killer: Hip Hop hawana bifu kama bongofleva kwa kuwa hawana mafanikio

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Young Killer amefunguka hayo alipohojiwa na e newz, na kudai kuwa bongo fleva kuna mafanikio na wanalipwa hela nyingi ndio maana wana bifu, tofauti na Hip hop
 
Dogo hana jipya huyu.

Bifu na majungu ni hulka ya mtu (kulingana na tabia na wanao yazunguka).

Bongo freva wengi makundi na chuki ndio hulka zao, plus wivu wa kijinga na show off kibao.

Mbona kuna bifu kati ya Wasaniii wa hip hop na bongo fleva??.........Ego ndio inayoleta chuki na bifu
 
Alikuwa hajazaliwa kipindi East Coast wanaminyana na TMK, sio kosa lake
Hasomi historia au hatuna maktaba ya Taifa ya muziki!??
1480351655594.png
 
Bongo hakuna hip hop....... mnaanza kuimba na Singeli.!!
 
huyu dogo nae! akuulizie mbele huko toka enzi za akina 2pac
 
Muacheni dogo jaman.Nae anataka aonekane kahojiwa kweny tv
 
kipindi hicho hata bongo fleva haikuwepo....
Mkuu enzi hizo ulikuwa mkoa gani?!

Unasema enzi za East Coast vs Tmk eti bongo flava haikuwepo.

Wakina dully,TID,Pauline Zongo,Jide,Mr Paul etc walikuwa wanaimba taarabu?!
 
Huyu dogo arudi tu kwa producer wake Mona Gangsta aombe msamaha amrudishe kwenye label.

maana siku hizi mziki amna kitu anapiga kelele.

Inabidi Nikki Mbishi anavyogombana na Weusi ile sio beef?

Vipi kuhusu Joh Makini na Fid Q?

Nikki Mbishi vs Ney wa Mitego?

Wakazi na Adili chapakazi?!

Au anadhani beef lazima uweke instagram na liwahusu Diamond na Ali
 
Zamani kulikuwa na Afande Sele Vs O-Ten, Kikosi cha Mizinga Vs Nako2Nako,Sir Nature Vs Inspekta Haroun, Zay B Vs Sister P, n.k
 
Huyu MTT na mistari ile ya George anakwenda bush bora asizungumzie hip hpo kabisa!
 
Back
Top Bottom