Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Utaka kusema ata Trace music, MTV ni za Wachaga? Ata Sarkodie alie tumia ngoma ya Joh Coke studio n Mchaga, RFA , KISS FM alikotokea sana Joh no za wachaga? Joh anajua sana na anachowaacha wenzie anajua kwenda na soko la mziki.
Darasa nae kagundua Manuva sasa anacheza na soko tu ndo maana anakwambia blah blah ataki kuskia..
Mafanikio hutokana na jitihada za mtu.
Sio lazima Joh awe kama Did au Roma. Kwa vile fasihi INA dhima kuu mbili kuelimisha na kuburudisha
 
Joh nimesikia track yake ya kwanza mwaka 2005 (hawapendi), kuanzia hapo hajawahi kurudi nyuma ni hit after hit hadi Leo hii. Namuheshimu sana msanii anayeweza kumaintain, wengi wamepita hapo katikati na tumewasahau, wengine wako sober house
 
Ufafanuzi mzuri sana.
 
Mfano wa hao watangazaji wachaga ni nan na nan????
 
Hatulazishwi na mtu ila muziki wake!
Hivi nasikiliZa Don't bother naipenda!
Halafu mtuanasemwa anabebwa!
Means mimi kuupenda muziki wa Joh nimepushiwa na mtu..?!
Joh is doing it aiseee.
 
Joh nimesikia track yake ya kwanza mwaka 2005 (hawapendi), kuanzia hapo hajawahi kurudi nyuma ni hit after hit hadi Leo hii. Namuheshimu sana msanii anayeweza kumaintain, wengi wamepita hapo katikati na tumewasahau, wengine wako sober house
Kwelii Kbsaa mkuu.. Badala ya kupiga kaz wanabaki kulalama tu.. BTW hawapendi ni ya 2004 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…