Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Sikatai kuwa jo ni mkongwe ila media hasa zile zinazokaliwa na watangazaji wachaga wamekuwa wakilazimisha kutuaminisha kuw joh ni mkali kuliko wengine kitu ambacho sio kweli yaan joh huwa anahit hata akiimba ujinga tofauti na marapa wakali kama fid q au roma wanatoa nyimbo kali ila huwa zinabaniwa ila joh anapewa promo sana kuliko uwezo wake jamani
Vp mbna kama unataka kuanzisha bifu za ukabila
 
Let his talent speak. He shouldn't pull others into his mess..
 
Dogo anambwat....nini??joh ni next level kwa hiphop apa bongo..kamenza kuimba jana tu kameanza dharau
 
huyu bila shaka atakua ni muumini wa ile Hip hop ya black and white, unajiziba jicho moja, kichwani una usongo halafu video kwenye gofu. No video queen. Sasa inapotokea kuna mwana anachana tu 'don't bother' very relaxed na anatoboa wakati wewe unachana mpaka misuli ya shingo inaonekana lazima useme jamaa anabebwa.
 
Sikatai kuwa jo ni mkongwe ila media hasa zile zinazokaliwa na watangazaji wachaga wamekuwa wakilazimisha kutuaminisha kuw joh ni mkali kuliko wengine kitu ambacho sio kweli yaan joh huwa anahit hata akiimba ujinga tofauti na marapa wakali kama fid q au roma wanatoa nyimbo kali ila huwa zinabaniwa ila joh anapewa promo sana kuliko uwezo wake jamani
Hebu nitajie wimbo mmoja wa joh ambao ni wakijinga kabisa lakini umepewa promo na hao watangazaji wachaga ambao naamini ndio pekee wanatangaza vituo vyote hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom