NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Elezea wanavyowabebani kweli Joh ni mkali lakini Clouds inawabeba sana tofauti na washikaji wengine,
Halafu wametumia kundi la weusi ili kupata show lakini ukweli kwa Tz makundi ni Yamoto, Navykenzo, Mkubwa na wanawe(salam tmk) kwa mbaali!
Unajua joh alipataje collabo na aka???ni kwa sababu mchovu alijiongelesha kwa aka kwenye interviewElezea wanavyowabeba
Ujinga aliimba kwenye wimbo gani ?Sikatai kuwa jo ni mkongwe ila media hasa zile zinazokaliwa na watangazaji wachaga wamekuwa wakilazimisha kutuaminisha kuw joh ni mkali kuliko wengine kitu ambacho sio kweli yaan joh huwa anahit hata akiimba ujinga tofauti na marapa wakali kama fid q au roma wanatoa nyimbo kali ila huwa zinabaniwa ila joh anapewa promo sana kuliko uwezo wake jamani
1.Kwa hiyo Mchomvu ndio alimpa connection na AKA ?Unajua joh alipataje collabo na aka???ni kwa sababu mchovu alijiongelesha kwa aka kwenye interview
Ndo kubebwa kwenyewe sasa huko
Nakumbuka shows za metropole, crestal club na ukumbi wa B.O.T
"rapcha nimezuka kipazani"
Atafute kwanza joh alikuwa anaitwa nani kabla ya kuitwa joh makini. Kaanza kuimba akiwa mdogo kuliko DOGO janja. Kipindi hicho miaka ya 90's akiitwa rapture.(rapcha)
in 90's Johmakini jina lake lilikua ni Rapcha, alivyoamua kubadili style ya muziki wake uwe wa kibiashara zaidi ndiyo akaanza kujiita Johmakini.Rapcha huyu dogo aliyesainiwa Bongo Records?
Rapcha ni jina la Joh Makini akiwa undergroundRapcha huyu dogo aliyesainiwa Bongo Records?