Young Killer Msodoki kama namuona WCB

Young Killer Msodoki kama namuona WCB

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
719
Huyu kijana ni moja kati ya wanamuziki bora wa hip hop bongo.Ni mtunzi mzuri sana na pia uko very creative kwenye kutupe vile tunaita mistari kwenzi.

Series ya sinaga Swagga imenikosha mno hasa hii ngoma ya tatu,ametupa ladha tuliyokuwa tukikosa ktk wasanii wengi wa hip hop

Ni kitendo cha muda tu ,young killer atakuwa signed WCB.
Chibu Jana ali tweet "sio kila young ni kila"
Babu tale alisema yeye ni number one fan wa huyu kijana,ni kitendo cha muda tutamuona kijana WCB

By the way,nimeona performance zake wasafi festival, kijana ni mbunifu sana,
Anateka mashabiki kuanzia mavazi na moves zake kwenye stage,
Sikuamini zile sarakasi alizoruka kwenye performance ya zenji.

Too bad mpaka sasa kijana hana video yenye million viewers licha ya kuwa na wafuasi 1.5million Instagram,the only cure ni WCB .

Welcome to the home of east African music youngkiller
 
Hana ubunifu wwt... Nimeskia kwenye ngoma hiyo unayosema akichama kama wakenya
 
Hip hop ni kazi sana kupata view nyingi....Young Killer kipaji cha utunzi anacho..kitu ambacho ndo diamond anakihtaji kwa msanii anayemsain, awe na uwezo wa kutunga mda, saa , dk au sekunde yyte...kwa Young zkiller kuna vitu fulani vidog vya kuongezea..awe na tone inayoweza kupanda na kushuka.....Hip Hop ni real life...ila ukitaka upige pesa kwenye mziki imba kubembeleza warembo full stop
 
Usiseme hip hop kupata views ni kazi sema young killer.....mbna una jumuisha wote Eminem ndani ya SAA moja video yake ya Kamikaze ilipata views 18M...na hapo utasemaje kuhusu hilo au Eminem hafanyi hip hop....nchi nyingine hip hop ndio muziki unapendwa kuliko miziki mingine yote....tena mashabiki wengi ni mademu.....
 
Usiseme hip hop kupata views ni kazi sema young killer.....mbna una jumuisha wote Eminem ndani ya SAA moja video yake ya Kamikaze ilipata views 18M...na hapo utasemaje kuhusu hilo au Eminem hafanyi hip hop....nchi nyingine hip hop ndio muziki unapendwa kuliko miziki mingine yote....tena mashabiki wengi ni mademu.....
Samahani mzee....... kamikaze imetoka mwaka gani?
 
Nasikia mwanza ataingia stejini na mitubwi, ila dar sasa nilivyosikia ngoja kwanza nisikitike ntee ntee ntee dar bwana nasikia ataingia stejini kama shoga kajiremba nini😁😁😁
 
Back
Top Bottom