Kwa wale wenye smart phones za android ingia playstore kisha search "MSODOKI" hapo uta download application mpya ya msanii wa hip hop tanzania young killer msodoki.Utaweza kuangalia video zote za young killer,kusikiliza nyimbo zake,kuona tweets zake,facebook,na instagram posts,kufanya booking online ya show na yy na pia kupata habari mbalimbali kuhusu huyu msanii.Nakama una biashara au ofisi inahitaji application au system kama hii ya Young killer ni pm tuongee.nta shukuru watanzania kama mtaonesha support kwa msanii wenu kwa kudownload application yake playstore inayo itwa kwa jina "MSODOKI"