Young killer Msodoki, The special Thread

Young killer Msodoki, The special Thread

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Kwa wale wenye kutumia smart phones za android ingia playstore na search "MSODOKI" hapo uta download application mpya ya msanii wetu young kila msodoki na utaweza kuangalia video zake, kusikiliza nyimbo zake kucheki tweets, facebook posts, instagram posts na habari mbali mbali nyingi kuhusu msanii huyu.

Napia kama utakua interested na kutengenezewa application ya simu kwa ajiri ya biashara,hospitali au systems za maofisini tafadhari ni pm tubonge.asanteni
 
Kwa wale wenye smart phones za android ingia playstore kisha search "MSODOKI" hapo uta download application mpya ya msanii wa hip hop tanzania young killer msodoki.Utaweza kuangalia video zote za young killer,kusikiliza nyimbo zake,kuona tweets zake,facebook,na instagram posts,kufanya booking online ya show na yy na pia kupata habari mbalimbali kuhusu huyu msanii.Nakama una biashara au ofisi inahitaji application au system kama hii ya Young killer ni pm tuongee.nta shukuru watanzania kama mtaonesha support kwa msanii wenu kwa kudownload application yake playstore inayo itwa kwa jina "MSODOKI"
 
Bado ananiijia ndotoni aaaa kila nikiamka
simuoniii ,bado ananijia nikilala haki ya
Mungu sio masiharaaaaaaaaaaa
Hii ni sauti ya raisi iliyomshindaga Ibilisii
kwa mwanadamu sio rahisiii
Kamwambieeeeeee
Jaman mjue kutofautisha kati msalaba na
jumlisha
Kuna x na kuzidishaaaaa
Vichecheeeeeeeeeee
Daimond Shikamoooooooooooooo
 
Huyu Msodoki ndo yule walisema kwamba show zake anajisimamia mwenyewe au?
Hongera zake, ni hatua nzuri
 
Bado ananiijia ndotoni aaaa kila nikiamka
simuoniii ,bado ananijia nikilala haki ya
Mungu sio masiharaaaaaaaaaaa
Hii ni sauti ya raisi iliyomshindaga Ibilisii
kwa mwanadamu sio rahisiii
Kamwambieeeeeee
Jaman mjue kutofautisha kati msalaba na
jumlisha
Kuna x na kuzidishaaaaa
Vichecheeeeeeeeeee
Daimond Shikamoooooooooooooo

Hahahah ndo namaliza kucheki video yake naona post yako
 
Bado ananiijia ndotoni aaaa kila nikiamka
simuoniii ,bado ananijia nikilala haki ya
Mungu sio masiharaaaaaaaaaaa
Hii ni sauti ya raisi iliyomshindaga Ibilisii
kwa mwanadamu sio rahisiii
Kamwambieeeeeee
Jaman mjue kutofautisha kati msalaba na
jumlisha
Kuna x na kuzidishaaaaa
Vichecheeeeeeeeeee
Daimond Shikamoooooooooooooo

ha ha ha umekuja kuwa vuruga akili huku,umeona ya msodoki hayo? tumsapoti.
 
Huyu Msodoki ndo yule walisema kwamba show zake anajisimamia mwenyewe au?
Hongera zake, ni hatua nzuri

Msodoki ni underground!! Asipojitambua atafata nyayo za Young D na Dongo janjaro
 
kumbe mbali na ushabiki kwa msanii pia ni ww n mfanya biashara . well
 
Kwa wale wenye smartphones za android ingia playstore na kisha search "MSODOKI" kisha download hiyo application ya young killer msodoki.Imekua ni gumzo kubwa saiz nchi nzima kwa hatua alio tembea kufikia level ya technology anayo itumia.samahani kwa kurusha hii kitu kwenye jukwaa ambalo sio lake
 
nchi nzima hyo mipaka ni ukuta wa nyumba unayoishi au?
acheni kulazimisha vitu.
kama kizur tutajua tu.
 
Unajua huu uzi sio mahali pake halafu unasema samahani..
Wala hutapata sapoti,ni sawasawa na kupeleka proposal inayowahusu wafugaji kwa wakulima
 
Huyu dogo namkubali sana katika michano,mashairi yametulia pia muziki wake unauza. Toka nimeanza kufuatilia nyimbo zake sijawahi kuboreka.

Kawakuta kwenye game madogo wenzake kama Young D, Dogo janja na wengine ....kawafunika na kuwapoteza mbaya.
 
Kweli sio kila young ni killer uwezo unajieleza imeandikwa sio kila sharobaro atafia muheza vaa pendeza ingia kati cheza ila utambue mkufu hausimami hata kama ukilishwa pweza #msodoki
 
Back
Top Bottom