kwa sasa ma-giant wa hiphop bongo ni fid q na joh makini.
Ila inabidi wamuangalie huyu dogo kwa jicho la ziada sana, wasimchukulie poa kama nilivyomchukulia mimi b4.
Moja ya vitu tunavyopima kwenye ukali wa hiphop ni ile mistari chokonozi.
Sasa labda wapi niwape mistari chokonozi baadhi ya awa ma-giant alafu mtaona nafasi ya kumwekea huyu bw mdogo.
Joh makini kwenye "najiona mimi" anakwambia ......."" sugar mummy ataki kushika kushika moo anashika muwa"".
Fid q kwenye " siri ya mchezo" anakwambia......"" mjinga utashangaa kumuona martini' kadinda "".
Yung killa kwenye 13 anakwambia "" shoga ata utoe jicho vipi huwezi yaona mafanikio"".
Ambao bado mnamchukulia poa huyu dogo mpeni sikio lenu tena.