Young killer Msodoki, The special Thread

Young killer Msodoki, The special Thread

siishi unavyoishi, naishi navyotaka, nkiishi unavyoishi we we ntakua naishi unavyotaka
 
Bado ananiijia ndotoni aaaa kila nikiamka
simuoniii ,bado ananijia nikilala haki ya
Mungu sio masiharaaaaaaaaaaa
Hii ni sauti ya raisi iliyomshindaga Ibilisii
kwa mwanadamu sio rahisiii
Kamwambieeeeeee
Jaman mjue kutofautisha kati msalaba na
jumlisha
Kuna x na kuzidishaaaaa
Vichecheeeeeeeeeee
Daimond Shikamoooooooooooooo

Dah,nimekubali ww mkare!
 
Kwa sasa ma-giant wa hiphop bongo ni Fid Q na Joh Makini.

Ila inabidi wamuangalie huyu dogo kwa jicho la ziada sana, wasimchukulie poa kama nilivyomchukulia mimi b4.

Moja ya vitu tunavyopima kwenye ukali wa hiphop ni ile mistari chokonozi.

Sasa labda wapi niwape mistari chokonozi baadhi ya awa ma-giant alafu mtaona nafasi ya kumwekea huyu bw mdogo.

Joh Makini kwenye "Najiona mimi" anakwambia ......."" Sugar mummy ataki kushika kushika moo anashika muwa"".

Fid Q kwenye " Siri ya Mchezo" anakwambia......"" mjinga utashangaa kumuona Martini' Kadinda "".

Yung Killa kwenye 13 anakwambia "" shoga ata utoe jicho vipi huwezi yaona mafanikio"".

Ambao bado mnamchukulia poa huyu dogo mpeni sikio lenu tena.
 
Msodoki hakunaga... ni hazina ya hip-hop ya kweli, msikilize kwenye 13 ni hatareeeee
 
kwa sasa ma-giant wa hiphop bongo ni fid q na joh makini.

Ila inabidi wamuangalie huyu dogo kwa jicho la ziada sana, wasimchukulie poa kama nilivyomchukulia mimi b4.

Moja ya vitu tunavyopima kwenye ukali wa hiphop ni ile mistari chokonozi.

Sasa labda wapi niwape mistari chokonozi baadhi ya awa ma-giant alafu mtaona nafasi ya kumwekea huyu bw mdogo.

Joh makini kwenye "najiona mimi" anakwambia ......."" sugar mummy ataki kushika kushika moo anashika muwa"".

Fid q kwenye " siri ya mchezo" anakwambia......"" mjinga utashangaa kumuona martini' kadinda "".

Yung killa kwenye 13 anakwambia "" shoga ata utoe jicho vipi huwezi yaona mafanikio"".

Ambao bado mnamchukulia poa huyu dogo mpeni sikio lenu tena.

namkubali sana dogo huyu anaweza sana
 
Back
Top Bottom