Young Lunya ana u-GOAT gani?

Ushawai kumsikia Royce da 5'6 wa Bad meets evil.yes em ni goat pia mwana harakati,angalia cypher yake Slaughter house,ndio imemtoa Kendrick lamar
Aisee umemtaja Royce umenikumbusha katika Bad meets evil, kuna ngoma yao na Eminem inaitwa Scary Movies ni balaa
 
Young Lunya ni underground aliyechangamka. Hawezi hata kidogo kumfikia mtu kama Young Dee ambaye bado hana hadhi ya GoAT.

Kama ni freestyle Lunya hafanyi freestyle labda akapela. U GoAT kwenye freestyle kwa sasa apewe Nikki Mbishi maanani balaa lingine huyu jamaa, ni vile ana migogoro mingi tu.
 
Bora hata Conboi lakini Lunya kiukweli hajui.
 
J Cole fundi,nae Kama Mimi anatokea Forest Hill,album yake ya 2014 Forest Hills Drive,nilinunua physical copy OG
Kwangu Eminem ndo mwamba, sijui wale kina jay ni kawaida tu.
Em songs

O1, monster, no love, till I collapse, love the way you lie.
kill shot, ja rule diss, mocking bird,
 
Emenimen kwenye ku diss ndio habari anependa,Kuna b*tch wa kuitwa Mariah Carey alitoa ngoma ya kumdiss Eminem, Obsessed,alichofanywa hatorudia,bila kusahau Benzino wa The source , Eminem killed his career,hah MGK??Nick Cannon,Mama Yake Mzazi

Kuna ngoma nili icut em ana diss kijinga aisee.
Hiyo ya cariah nili isikiliza, aisee jomba ana sema ali hit faster aka sleepπŸ˜‚.

Benzino kachanwa Tena kwenye dooms day 2 ya Mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…