Young Lunya ana u-GOAT gani?

Kwa kizazi Cha Sasa au
Unajua problem ya kizazi cha sasa ni kwamba sh*t is too modernized. Naona hata marapa wenyewe wanasifiwa ukali ila sioni ukali wao sijui JuiCeWrD kina Young boy NBA, blue face etc. Creativity naona kama hamna, hebu take back yourself back in days halafu niambie ndio uko umetulia unasikiliza ngoma kama G - Code ya geto boys, au ngoma kama Triumph ya Wu Tang Clan
 
Hah wanasema game lime change but trust me wakali wapo tena Hawa Hawa wa kizazi kipya but hawaendi mainstream,real hip hop imeonekana Kama sio radio Friend,..
 
Kad twende
 
Hivi, A Tribe Called Quest walitokomeaga wapi
 
Wanarukwa sana ukuta hao marapa wenu tatizo,rapa gani anabana pua?
 
Lunya ni Mbuzi
Tuache ku complicate mambo jamani.
Mbuzi ni AkA kama Akina Tembo Simba Chui

Ila labda sisi wadada ndo tunamkubali mi siwezi kuwasikiliza kina niki mbishi wallah ila "vitu vingi" fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…