Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Rapch
Dah kwamba Mimi ndie young lunya?
Dogo ana mademu sema yeye ana mambo ya kufall in love kikweli .mtu ka Rapcha na young killer wao ni makahaba kila ukiwaona na demu mpya na ndo wanajiona wahuni.huyu ana demu wake mmoja mkubwa kuliko yeye anafanya bank .huwa yuko nae kila mahali ndo maana wahuni wanamuona sio mwana hiphopatafute demu kwanza
ππππDogo ana mademu sema yeye ana mambo ya kufall in love kikweli .mtu ka Rapcha na young killer wao ni makahaba kila ukiwaona na demu mpya na ndo wanajiona wahuni.huyu ana demu wake mmoja mkubwa kuliko yeye anafanya bank .huwa yuko nae kila mahali ndo maana wahuni wanamuona sio mwana hiphop