Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Sikiliza freestyle season 3 utakuja kusalute mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rapch
Dah kwamba Mimi ndie young lunya?
Dogo ana mademu sema yeye ana mambo ya kufall in love kikweli .mtu ka Rapcha na young killer wao ni makahaba kila ukiwaona na demu mpya na ndo wanajiona wahuni.huyu ana demu wake mmoja mkubwa kuliko yeye anafanya bank .huwa yuko nae kila mahali ndo maana wahuni wanamuona sio mwana hiphopatafute demu kwanza
😂😂😂😂Dogo ana mademu sema yeye ana mambo ya kufall in love kikweli .mtu ka Rapcha na young killer wao ni makahaba kila ukiwaona na demu mpya na ndo wanajiona wahuni.huyu ana demu wake mmoja mkubwa kuliko yeye anafanya bank .huwa yuko nae kila mahali ndo maana wahuni wanamuona sio mwana hiphop