Young tuso afunguka tena juu ya Jacqueline Wolper

Young tuso afunguka tena juu ya Jacqueline Wolper

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Young tuso aliimba nyimbo inayoitwa JACQUELINE WOLPER.Watu weng wakajiuliza maswali meng juu ya ile nyimbo. Watangazaji walipomuuliza kwanini kaimba vile ile nyimbo ya wolper, akasema anahisia za kweli kwa JACQUELINE WOLPER.

Leo kwenye page yake ya facebook kaandika iv "hapo zamani katika nchi ya misri b4 the coming of JESUS CRYST palipata kuwepo na mwanamke aitwae malkia CLEOPATRA.Cleopatra alikua mwanamke mrembo zaid dunian baada ya kifo chake hapajawah kutokea mwanamke mrembo zaid yake, lakini kwa mtazamo wangu hata malkia Cleopatra akirudi leo dunian hawez kumfunika JACQUELINE WOLPER , ndio mwanamke mzur zaidi duniani.

Nakupenda Jacqueline Wolper By Young Tuso" Vip wanajamvi atafanikiwa kweli huyu jamaa kumpata Wolper kwa njia ya kuexpress feelings zake waz waz?
 
Nitoke vip eeh
ila mapenzi hayana macho bhana mbona domo alompata wee ma kabla ya kuhit kihivyoo
 
Balehe + foolish age ndo zinamsumbua yatapita halafu atakuja kujiona mjinga kweli...JAQLYN WOLPER YANI NI WA KAWAIDA SANA.
 
Balehe inamsumbua, uckute anapiga ny....to kwa picha ya gazeti
 
Anaweza kumpata,maana wanawake akili zao ndogo wakisifiwa tu baas
 
wolper wala hana uzuri wowote ni wa kawaida sana! Ila dogo mjanja sana atang'oa 2 muda sio mrefu.
 
alafu jamani uyo CLEOPATRA wanaemsema mbona wa kawaida sana! Yani ata dada ze2 kibao wanaotembea k zko nje wanamshnda
 
Back
Top Bottom