Young tuso afunguka tena juu ya Jacqueline Wolper

Young tuso afunguka tena juu ya Jacqueline Wolper

Young tuso aliimba nyimbo inayoitwa JACQUELINE WOLPER.Watu weng wakajiuliza maswali meng juu ya ile nyimbo. Watangazaji walipomuuliza kwanini kaimba vile ile nyimbo ya wolper, akasema anahisia za kweli kwa JACQUELINE WOLPER.

Leo kwenye page yake ya facebook kaandika iv "hapo zamani katika nchi ya misri b4 the coming of JESUS CRYST palipata kuwepo na mwanamke aitwae malkia CLEOPATRA.Cleopatra alikua mwanamke mrembo zaid dunian baada ya kifo chake hapajawah kutokea mwanamke mrembo zaid yake, lakini kwa mtazamo wangu hata malkia Cleopatra akirudi leo dunian hawez kumfunika JACQUELINE WOLPER , ndio mwanamke mzur zaidi duniani.

Nakupenda Jacqueline Wolper By Young Tuso" Vip wanajamvi atafanikiwa kweli huyu jamaa kumpata Wolper kwa njia ya kuexpress feelings zake waz waz?

hivi tutakuwa na uhakika gani kwamba walizunguka dunia nzima na wakagundua by that time hakuna mwanamke mzuri km huyo cleopatra?au ndio zile zile stori za babu?kweli the beauty lies on the eyes of the beholder,yani wolper ninavyomuona wa kawaida vile kumbe kuna mtu anakosa usingizi kwa ajili yake?
 
wolper wala hana uzuri wowote ni wa kawaida sana! Ila dogo mjanja sana atang'oa 2 muda sio mrefu.

wenawe!!,umekazana,kusema
wolper
hana,uzuri
wowote,kwani
hujui,uzuri
wa,mtu
upo
machoni
pa,mtu?mwenzako,kwa
wolper
ndo
kafika,so
mwache
aelezee
flng
zake.
mw
 
huyu young tusso akitaka kumega watoto wakali atafute pesa nyingi ila siyo kwa style hii kwani hakauzi,hakipendezi na nguo halafu kafupi sana!kifupi kipo local sana
 
Back
Top Bottom