Young tuso aliimba nyimbo inayoitwa JACQUELINE WOLPER.Watu weng wakajiuliza maswali meng juu ya ile nyimbo. Watangazaji walipomuuliza kwanini kaimba vile ile nyimbo ya wolper, akasema anahisia za kweli kwa JACQUELINE WOLPER.
Leo kwenye page yake ya facebook kaandika iv "hapo zamani katika nchi ya misri b4 the coming of JESUS CRYST palipata kuwepo na mwanamke aitwae malkia CLEOPATRA.Cleopatra alikua mwanamke mrembo zaid dunian baada ya kifo chake hapajawah kutokea mwanamke mrembo zaid yake, lakini kwa mtazamo wangu hata malkia Cleopatra akirudi leo dunian hawez kumfunika JACQUELINE WOLPER , ndio mwanamke mzur zaidi duniani.
Nakupenda Jacqueline Wolper By Young Tuso" Vip wanajamvi atafanikiwa kweli huyu jamaa kumpata Wolper kwa njia ya kuexpress feelings zake waz waz?