Your best movie of all time ambayo hutochoka kuirudia..

Your best movie of all time ambayo hutochoka kuirudia..

Kama uliangalia Govinda Yaya Ranjit ankula karanga kila saa aisee we wakitambo ktk gemu la movie. Ngoja nikukumbushe kidogo za kipindi kile...kuna hizi
Mithun wawili
Zalumenda Mbwa na Nyani
Mohra
Akshay na sunilshet adui Mzee deni anajifanya kipofu
Sandat msalabani
Koila
Sheria kipofu Amita
Asee, miaka hiyo nipo mitaa ya makutano mabibo huko. Asubuhi naenda kuangalia ubao wamebandika Makava ya movie gani na muda wa kuangalia movie husika.
Nikitoka hapo naenda kusaluka na vyuma chakavu kutafuta hela ya movie kumsikiliza mtaalamu Lufufu Mukandala.
 
Oyi
Asee, miaka hiyo nipo mitaa ya makutano mabibo huko. Asubuhi naenda kuangalia ubao wamebandika Makava ya movie gani na muda wa kuangalia movie husika.
Nikitoka hapo naenda kusaluka na vyuma chakavu kutafuta hela ya movie kumsikiliza mtaalamu Lufufu Mukandala
Oyi aisee hadi kusaluka umesaluka aisee kumbe tuko wengi.
Yaani mabibo yote kuanzia motomoto mpka kule mwisho ni Banda umiza za kutosha. Aisee walikuka sana 50 50 zangu na 30 30 zangu kitambo kile
 
Back
Top Bottom