Your best movie of all time ambayo hutochoka kuirudia..

Asee, miaka hiyo nipo mitaa ya makutano mabibo huko. Asubuhi naenda kuangalia ubao wamebandika Makava ya movie gani na muda wa kuangalia movie husika.
Nikitoka hapo naenda kusaluka na vyuma chakavu kutafuta hela ya movie kumsikiliza mtaalamu Lufufu Mukandala.
 
Oyi
Oyi aisee hadi kusaluka umesaluka aisee kumbe tuko wengi.
Yaani mabibo yote kuanzia motomoto mpka kule mwisho ni Banda umiza za kutosha. Aisee walikuka sana 50 50 zangu na 30 30 zangu kitambo kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…