Your boss cannot make you rich

Labda ndiyo wanapenda maisha ya kulalamika.
Si kweli kabisa ukiongea na employees wanalalamika sana from the bottom.Wengi wanaendelea kuvumilia sababu ya uwoga na hifu iliyo miongoni mwao.
 
Si kweli kabisa ukiongea na employees wanalalamika sana from the bottom.Wengi wanaendelea kuvumilia sababu ya uwoga na hifu iliyo miongoni mwao.
Kaman divyo wanavyotaka hivyo kuishi maisha ya kulalamika utajuaje?

Hujui wengine wamefundishwa bora waishi maisha ya kulalamika dunia hii maana si kwao, watapata ufalme wa mbinguni wa milele kwa baba?

Sasa watu kama hawa wakilalamika kwa muda mfupi maisha haya huku wakijua wanakwenda kuishi maisha ya uzima wa milele mbinguni wewe tatizo lako nini?
 
You joking mkuu huwezi kuwa series.Hahaaa haaahaa
 
Siwezi kuwa series, mimi ni singularity.
Waajiriwa wanaishi kwa wasiwasi mwingi sana mara vyeti or uhakiki,Hakuna increments, hakuna kupanda daraja utasemaje wanapenda kuishi hivyo.
 
Waajiriwa wanaishi kwa wasiwasi mwingi sana mara vyeti or uhakiki,Hakuna increments, hakuna kupanda daraja utasemaje wanapenda kuishi hivyo.
Kuna wengine maisha yasiyo na wasiwasi hayana raha.
 
hiki ni moja ya chanzo cha umaskini.wakina mfalme suleiman walitafuta utajiri wewe unajifanya hutaki utajiri zaidi ya ufalme wa mbingu.unapotea
 
hiki ni moja ya chanzo cha umaskini.wakina mfalme suleiman walitafuta utajiri wewe unajifanya hutaki utajiri zaidi ya ufalme wa mbingu.unapotea
Wapi nimesema sitaki utajiri?

Hata signature yangu umeisoma?

Unaelewa ninachoandika au unarukia kwa kufikiri umeelewakitu ambacho hujaelewa?
 
Leo ni siku ya mei mosi wafanya kazi naomba tukumbuke hili bandiko ijapokuwa ni miaka miwili imepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…