Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
- #21
Tatizo lipo mbona wanalalamika kila siku.Kamahayo ndiyo maisha wanayoyataka, tatizo liko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo mbona wanalalamika kila siku.Kamahayo ndiyo maisha wanayoyataka, tatizo liko wapi?
Labda ndiyo wanapenda maisha ya kulalamika.Tatizo lipo mbona wanalalamika kila siku.
Si kweli kabisa ukiongea na employees wanalalamika sana from the bottom.Wengi wanaendelea kuvumilia sababu ya uwoga na hifu iliyo miongoni mwao.Labda ndiyo wanapenda maisha ya kulalamika.
Kaman divyo wanavyotaka hivyo kuishi maisha ya kulalamika utajuaje?Si kweli kabisa ukiongea na employees wanalalamika sana from the bottom.Wengi wanaendelea kuvumilia sababu ya uwoga na hifu iliyo miongoni mwao.
You joking mkuu huwezi kuwa series.Hahaaa haaahaaKaman divyo wanavyotaka hivyo kuishi maisha ya kulalamika utajuaje?
Hujui wengine wamefundishwa bora waishi maisha ya kulalamika dunia hii maana si kwao, watapata ufalme wa mbinguni wa milele kwa baba?
Sasa watu kama hawa wakilalamika kwa muda mfupi maisha haya huku wakijua wanakwenda kuishi maisha ya uzima wa milele mbinguni wewe tatizo lako nini?
Siwezi kuwa series, mimi ni singularity.You joking mkuu huwezi kuwa series.Hahaaa haaahaa
Waajiriwa wanaishi kwa wasiwasi mwingi sana mara vyeti or uhakiki,Hakuna increments, hakuna kupanda daraja utasemaje wanapenda kuishi hivyo.Siwezi kuwa series, mimi ni singularity.
Kuna wengine maisha yasiyo na wasiwasi hayana raha.Waajiriwa wanaishi kwa wasiwasi mwingi sana mara vyeti or uhakiki,Hakuna increments, hakuna kupanda daraja utasemaje wanapenda kuishi hivyo.
Ni kweli kuna watu wa aina hiyo?Kuna wengine maisha yasiyo na wasiwasi hayana raha.
Ushawahi kujiuliza ungejua maisha yako yote yatakavyokuwa ungekuwaje?Ni kweli kuna watu wa aina hiyo?
Cc Al-watan
yaani kuna mijitu mipumbavu sana kama wewe ilitakiwa ipelekwe kwenye mashamba ya serikali ikalimeSo kwa hiyo
hiki ni moja ya chanzo cha umaskini.wakina mfalme suleiman walitafuta utajiri wewe unajifanya hutaki utajiri zaidi ya ufalme wa mbingu.unapoteaKaman divyo wanavyotaka hivyo kuishi maisha ya kulalamika utajuaje?
Hujui wengine wamefundishwa bora waishi maisha ya kulalamika dunia hii maana si kwao, watapata ufalme wa mbinguni wa milele kwa baba?
Sasa watu kama hawa wakilalamika kwa muda mfupi maisha haya huku wakijua wanakwenda kuishi maisha ya uzima wa milele mbinguni wewe tatizo lako nini?
Wapi nimesema sitaki utajiri?hiki ni moja ya chanzo cha umaskini.wakina mfalme suleiman walitafuta utajiri wewe unajifanya hutaki utajiri zaidi ya ufalme wa mbingu.unapotea