Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Jana wakati Rais Trump alipokutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, alimsifia Rais wa Liberia kwa kuongea Kiingereza kizuri.
Maneno hayo ya Trump yamezua mjadala.
Kuna wanaodai Trump alionyesha dharau.
Kuna wanaodai Trump alionyesha ujinga wake kwa sababu Liberia lugha rasmi ni Kiingereza, hivyo hakuna cha ajabu kama Rais wake akiongea Kiingereza kizuri.
Kuna walioona kuwa Trump Alisema hivyo kwa sababu anasukumwa na ubaguzi wa rangi [not sure how].
Mimi wala sikushangazwa maana Trump siyo mara yake ya kwanza kusema kitu kama hicho na sidhani lilikuwa ni suala la ubaguzi au dharau kwa Mwafrika.
Trump, mara baada ya kushinda uchaguzi wa 2024, alipigiwa simu na Rais wa Indonesia kumpongeza kwa ushindi wake.
Katika mazungumzo yao kwa njia ya simu, Trump alisikika akimwambia Rais Prabonto Subianto kuwa “your English is so good”.
Situngi wala kuzusha, video hii hapa:
View: https://youtu.be/4eOKPwyg29g?si=BIUozoAb9-0dOKOs
Ninachokiana hapo kuhusu Rais wa Liberia ni overreaction tu na watu ama wana kumbukumbu fupi au ni wajinga wa jinsi Trump aongeavyo.
Trump anapenda kusifia uwezo wa kuongea Kiingereza wa watu. Hata lafudhi huwa anapenda kusifia.
Muangalie hapa akisifia lafudhi ya Keir Starmer: angalia dakika ya 3:25/26.
View: https://youtu.be/jOYtpskwyHM?si=JAagk7CYeeySZwf4
Nashangaa kwa nini watu hata wanashangaa Trump akimsifia mtu kuhusu kuongea Kiingereza au kuhusu lafudhi ya Kiingereza.
Trump derangement syndrome is real.