zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Whatever unaeza simulia ata ki namtumboKwahiyo tunasimulia kwa kiingereza..?
Kumbe tabia mbaya umeanza zamani hivyo!Nayokumbuka ni ile ya chuo,japo zilishatokea secondary lakini hii ya first year chuo ndio iko akilini hadi sasa
Nakumbuka mimi ndio nilianza kuchukua namba yake kwa group discussion baada ya kuona ana 'materials' / 'notes' za kila somo,nilikuwa napenda sana shule enzi zile
Nikaanza kuwasiliana nae kwa simu,kitu kizuri zaidi ni kwamba tulijikuta mimi na yeye tunafanana katika baadhi ya mambo kama kuna somo fulani tulipenda wote sanaaaaa,starehe zetu zilikuwa sawa,vyakula!!!badae nikagundua hata ngono tunaipenda kwa kiwango sawa teh!!
Kimsingi kabla hajaniambia tayari nilikuwa nimeshampenda,ni vile tu siwezi kumuanza kumwambia mwanaume nampenda so ilibidi nisubiri aanze
Ikafika siku akaniambia,alivyoniambia nikamzungusha weeeeee as if simtaki eti
Nikamkubali...badae nikaachwa ๐ค๐ค๐ค
Kumbe tabia mbaya umeanza zamani hivyo!
Nimemtuma yna2 bakora vinci anakuja na waya chakorii anakusubiri kukupa vifinyo!!..
Sasa chagua tukupige sie tu au tukakuseme kwa dingi..?๐
Naona unataka kukitetea kwa uhalalisho wa wengine Sasa hii shoo ntaisimamia mimi.. ukitaka yaishe nifanyie mpango kwa yule rafiki yako jackline tumalize mchongo hata Vinci tutamtuliza kwa vibiskuti vya Mia mbili na juisi kola..๐
mwanangu kenzy naona unataka kuwanyanya dada zako, hayo mambo yapo hata sie tumepitia, hata tunapowakaripia ujue tunatimiza wajibu wa mzazi na si kua tunawazuia, hawa wameshakua miili yao inataka huduma, naomba nisije sikia hata siku moja umewapangia cha kufanya ka hujapokea maelezo yetu wazazi.Kumbe tabia mbaya umeanza zamani hivyo!
Nimemtuma yna2 bakora vinci anakuja na waya chakorii anakusubiri kukupa vifinyo!!..
Sasa chagua tukupige sie tu au tukakuseme kwa dingi..?
๐๐ Sawa naona mzee umeamua kumwaga mboga mi simwagi ugali isipokuwa tu ukiletewa mimba zisizo na baba hapo ndo utajua Kuna mtu alimwaga na ugali!!.. Sasa jitie udemokrasia uje uone mambo yanavyokugeukia..๐mwanangu kenzy naona unataka kuwanyanya dada zako, hayo mambo yapo hata sie tumepitia, hata tunapowakaripia ujue tunatimiza wajibu wa mzazi na si kua tunawazuia, hawa wameshakua miili yao inataka huduma, naomba nisije sikia hata siku moja umewapangia cha kufanya ka hujapokea maelezo yetu wazazi.
Nayokumbuka ni ile ya chuo,japo zilishatokea secondary lakini hii ya first year chuo ndio iko akilini hadi sasa
Nakumbuka mimi ndio nilianza kuchukua namba yake kwa group discussion baada ya kuona ana 'materials' / 'notes' za kila somo,nilikuwa napenda sana shule enzi zile
Nikaanza kuwasiliana nae kwa simu,kitu kizuri zaidi ni kwamba tulijikuta mimi na yeye tunafanana katika baadhi ya mambo kama kuna somo fulani tulipenda wote sanaaaaa,starehe zetu zilikuwa sawa,vyakula!!!badae nikagundua hata ngono tunaipenda kwa kiwango sawa teh!!
Kimsingi kabla hajaniambia tayari nilikuwa nimeshampenda,ni vile tu siwezi kumuanza kumwambia mwanaume nampenda so ilibidi nisubiri aanze
Ikafika siku akaniambia,alivyoniambia nikamzungusha weeeeee as if simtaki eti
Nikamkubali...badae nikaachwa [emoji847][emoji847][emoji847]
KENZY I told youNaona unataka kukitetea kwa uhalalisho wa wengine Sasa hii shoo ntaisimamia mimi.. ukitaka yaishe nifanyie mpango kwa yule rafiki yako jackline tumalize mchongo hata Vinci tutamtuliza kwa vibiskuti vya Mia mbili na juisi kola..๐
mwanangu kenzy naona unataka kuwanyanya dada zako, hayo mambo yapo hata sie tumepitia, hata tunapowakaripia ujue tunatimiza wajibu wa mzazi na si kua tunawazuia, hawa wameshakua miili yao inataka huduma, naomba nisije sikia hata siku moja umewapangia cha kufanya ka hujapokea maelezo yetu wazazi.
[emoji23]nimerudia kusoma hapo kwenye ngono mara tatu
Yaani unavyopenda ngono sasa [emoji1787]
Sikubali na kichapo mtakula tu labda sio mimi niliekula nyongo ya mamba.. hapa demokrasia ipo ila sio ya kirahisi hivyo.. leta bwana wako mtambulishe muoane tujue moja.. msije niletea wajomba wasio na baba wakaanza kutumia ubin wangu ati mwanao aitwe chausiku kenzy..๐
sipendi[emoji23].ila napenda the fact kwamba wewe unapenda[emoji16]
Sikubali na kichapo mtakula tu labda sio mimi niliekula nyongo ya mamba.. hapa demokrasia ipo ila sio ya kirahisi hivyo.. leta bwana wako mtambulishe muoane tujue moja.. msije niletea wajomba wasio na baba wakaanza kutumia ubin wangu ati mwanao aitwe chausiku kenzy..๐
Tatoa meno mtu..
i like such ladies[emoji39],i like it when a woman shows interest ,it turns me on
nilikumiss๐๐Kwahiyo tunasimulia kwa kiingereza..?
Nimemsikiliza lkn kishingo upande..๐Msikilize baba basi
Hujuagi mwenye dada hakosi shemeji e?