Your first love story/first time to approach

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Everyone has ever fallen in love. But we actually remember our first love story and First time to approach or to be approached.

How did you manage to tackle your fellow,was it through exchanging phone numbers. Or Maybe through face to face conversations.

What memories of her/him do you remember. You wanna share..[emoji7][emoji7]

Did your first love last.Then If it didn't last what went wrong.!

You can share to us using any language Free of Choice

I also fell in love with a certain girl in secondary school for the first time but I wasn't ready to explain my Feelings to her.
But her affections towards me showed a sign that she really loved me.

I planned to tell her but I suddenly dropped out of school so my mission was never complete[emoji17][emoji17]
 
Nayokumbuka ni ile ya chuo,japo zilishatokea secondary lakini hii ya first year chuo ndio iko akilini hadi sasa

Nakumbuka mimi ndio nilianza kuchukua namba yake kwa group discussion baada ya kuona ana 'materials' / 'notes' za kila somo,nilikuwa napenda sana shule enzi zile

Nikaanza kuwasiliana nae kwa simu,kitu kizuri zaidi ni kwamba tulijikuta mimi na yeye tunafanana katika baadhi ya mambo kama kuna somo fulani tulipenda wote sanaaaaa,starehe zetu zilikuwa sawa,vyakula!!!badae nikagundua hata ngono tunaipenda kwa kiwango sawa teh!!

Kimsingi kabla hajaniambia tayari nilikuwa nimeshampenda,ni vile tu siwezi kumuanza kumwambia mwanaume nampenda so ilibidi nisubiri aanze

Ikafika siku akaniambia,alivyoniambia nikamzungusha weeeeee as if simtaki eti

Nikamkubali...badae nikaachwa 🤗🤗🤗
 
Kumbe tabia mbaya umeanza zamani hivyo!
Nimemtuma yna2 bakora vinci anakuja na waya chakorii anakusubiri kukupa vifinyo!!..

Sasa chagua tukupige sie tu au tukakuseme kwa dingi..?😜
 
Dingi yetu si ni yule yule yuzazifu ?

Kama ni huyu huyu mbona ni mshkaji sana tu,anaelewa sana hizi mambo

Kwani unajua Chakorii kaanza lini?
 
Naona unataka kukitetea kwa uhalalisho wa wengine Sasa hii shoo ntaisimamia mimi.. ukitaka yaishe nifanyie mpango kwa yule rafiki yako jackline tumalize mchongo hata Vinci tutamtuliza kwa vibiskuti vya Mia mbili na juisi kola..😜
 
Sasa chagua tukupige sie tu au tukakuseme kwa dingi..?
mwanangu kenzy naona unataka kuwanyanya dada zako, hayo mambo yapo hata sie tumepitia, hata tunapowakaripia ujue tunatimiza wajibu wa mzazi na si kua tunawazuia, hawa wameshakua miili yao inataka huduma, naomba nisije sikia hata siku moja umewapangia cha kufanya ka hujapokea maelezo yetu wazazi.
 
😂😂 Sawa naona mzee umeamua kumwaga mboga mi simwagi ugali isipokuwa tu ukiletewa mimba zisizo na baba hapo ndo utajua Kuna mtu alimwaga na ugali!!.. Sasa jitie udemokrasia uje uone mambo yanavyokugeukia..😂
 
Nayokumbuka ni ile ya chuo,japo zilishatokea secondary lakini hii ya first year chuo ndio iko akilini hadi sasa

Nakumbuka mimi ndio nilianza kuchukua namba yake kwa group discussion baada ya kuona ana 'materials' / 'notes' za kila somo,nilikuwa napenda sana shule enzi zile

Nikaanza kuwasiliana nae kwa simu,kitu kizuri zaidi ni kwamba tulijikuta mimi na yeye tunafanana katika baadhi ya mambo kama kuna somo fulani tulipenda wote sanaaaaa,starehe zetu zilikuwa sawa,vyakula!!!badae nikagundua hata ngono tunaipenda kwa kiwango sawa teh!!

Kimsingi kabla hajaniambia tayari nilikuwa nimeshampenda,ni vile tu siwezi kumuanza kumwambia mwanaume nampenda so ilibidi nisubiri aanze

Ikafika siku akaniambia,alivyoniambia nikamzungusha weeeeee as if simtaki eti

Nikamkubali...badae nikaachwa [emoji847][emoji847][emoji847]

[emoji23]nimerudia kusoma hapo kwenye ngono mara tatu
 
Naona unataka kukitetea kwa uhalalisho wa wengine Sasa hii shoo ntaisimamia mimi.. ukitaka yaishe nifanyie mpango kwa yule rafiki yako jackline tumalize mchongo hata Vinci tutamtuliza kwa vibiskuti vya Mia mbili na juisi kola..😜
KENZY I told you
Baba yetu ni mshikaji

mwanangu kenzy naona unataka kuwanyanya dada zako, hayo mambo yapo hata sie tumepitia, hata tunapowakaripia ujue tunatimiza wajibu wa mzazi na si kua tunawazuia, hawa wameshakua miili yao inataka huduma, naomba nisije sikia hata siku moja umewapangia cha kufanya ka hujapokea maelezo yetu wazazi.

Thanks dad 😍😌
 
KENZY I told you
Baba yetu ni mshikaji

Thanks dad 😍😌
Sikubali na kichapo mtakula tu labda sio mimi niliekula nyongo ya mamba.. hapa demokrasia ipo ila sio ya kirahisi hivyo.. leta bwana wako mtambulishe muoane tujue moja.. msije niletea wajomba wasio na baba wakaanza kutumia ubin wangu ati mwanao aitwe chausiku kenzy..😂
Tatoa meno mtu..
 
Msikilize baba basi

Hujuagi mwenye dada hakosi shemeji e?
 
Back
Top Bottom