Your index no is not secured by loan?

Your index no is not secured by loan?

Maana yake nin? Na
je ni kweli kwamba wengne wameandikiwa yr not acquired?
Nawasilisha

E-bwana na mm nina hiyo status sijui wana maana gani?.Hawa jamaa ni pasua kichwa sana sijui wanataka tusomaje na hali yenyewe ya maisha ndio hivyo tema.
 
Hii nchi tuna safari ndefu sana ya kuelekea ktk maendeleo,kwa ishu muhimu kama hii na unyeti wa taasisi walitakiwa wawe na page maalumu ambayo wataalamu wao wawe wanajibu maswali mbalimbali kama haya.Hivi wanategemea wote tukienda pale ofisini patatosha?.
 
Me mdogo wangu imemuandikia hivyo..sielewi kwann wamtende hivyo
 
mhhhhhhhh sasa imekua kero kila mtu anataka aelekezwe maana ya hayo maneno mbona rahis sana hayo "bado ipo kwenye taratibu za kupelekwa collage husila"
 
Back
Top Bottom