Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Maisha ni Njama, Maisha yako ni Njama, Life is a Conspiracy.
Nikitazama maisha yangu kwa kipindi chote nilichokuwepo hapa duniani nimegundua kwamba Maisha ni Njama, Maisha yangu ni Njama. Labda kwa wale ambao hawaelewi nifafanue kidgo kuhusu dhana ya njama, njama ni mpango au mkakati wa mtu au watu kutenda jambo fulani kwa siri? Sasa kwanini nasema kwamba Maisha ni njama?
Iko hivi. Kukutana kwa Baba yangu na Mama yangu ambako ndiko kulikopelekea mimi kuwepo ni jambo ambalo sikuwa na mamlaka nalo. Nikazaliwa. Katika Possible combination ambazo zingetokea basi mimi ndio nikatokea. Mama yangu akalea tumbo nikazaliwe lakini kati hapo kulikuwa na hatari kubwa sana, hata katika kuzaliwa kwangu zama zile kulikuwa na hatari nyingi sana lakini bado nilitoka salama.
Katika kukua wengi walikufa wakiwa wachanga,wengine waki na umri wa miaka 5 wengine utu uzimani lakini mimi nikawa hai mpaka wakati huu.Magonjwa yale yale ambayo yaliua wengine mimi niliyapata ila nikapona. Na hata mpaka wakati huu kuna mambo mengi sana ambayo yanatokea katika maisha ambayo katika jicho la kawaida unaweza kuona ni ya kawaida lakini kwa ndani kabisa unaona kuna njama fulani za kuhakikisha kwamba naendelea kuwepo duniani.
Swala nililojiuliza je, Njama hii inapangwa na nani au nini? Najua sio Mwanadamu,Basi nikaanza kuangalia patterns mbalimbali na matukio mbalimbali ili kupata uhusiano wa matukio. Kwa mfano watu walipokuwa wanataka madaraka makubwa sana hasa wala ambao waliinuka kutoka chini asilimia kubwa walipoteza kitu kama vile mtoto, mke, mzazi. Nilipofuatilia nikagundua kwamba wengi walisema kwamba wamewatoa kafara kumbe sivyo bali uelekeo wa maisha yao uliwapitisha katika njama ambayo iliwabidi wapoteze ili wapate.
Mwaka fulani nilikuwa nataka sana utajiri mkubwa sana, kwa kweli nilifanya mikakati mizito sana ya kuhakikisha natusua.Katika kipindi hicho mke wangu alikuwa mjamzito na dada yangu alikuwa mjamzito na mtoto wa dada yangu alikuwa anaumwa. Basi dada yangu alijifungua wa kwanza salama, lakini tukio la ajabu likajitokeza, siku ambayo mke wangu alikuwa najifungua mtoto wa dada yangu alifariki katika siku hiyo hiyo. Nilifanya kupokea taarifa ya msiba na kuzaliwa kwa mtoto kwa wakti mmoja. Nilishtuka sana nikajiuliza ni nini hiki? Katika akili yangu ndogo niliona ni coincidence ila katika kuangalia mtiririko wa matukio Najua kwamba katika kipindi kile, MIMI na SHEMEJI YANGU wote tulikuwa katika OVER DRIVE MODE YA KUSAKA UTAJIRI. Ambacho hatukukijua ni kwamba katika kufanya vile tulikuwa tunaamsha mambo mengine.
Njama iliyokuwepo ilikuwa ni kwamba mimi ningepoteza mtoto,kama shemeji yangu na tungetusua lakini mimi nilifanya Jambo moja ambalo liliharibu Patern. Sikuwa over exited na mtoto wangu aliyekuwa anazaliwa, actually siku hiyo mke wangu yuko labour mimi nilikuwa nafanya kitu ambacho ni very awkward. Nilikutana na my ex by coincidence na nikafurahi sana kumuona mpaka.Nikasahau hata kuhusu Mke wangu ambaye nilimpeleka Hospitali Asubuhi yake. Nikitazama sasa hivi najua kwamba kama ningekuwa na mahaba na mtoto wangu yule huenda siku ile ningekuwa na misiba miwili. Katika njama hii, unapokuwa power hungry huwa kinachukuliwa kila unachokipenda sana.
Nilipogundua hilo na hii ni baada ya muda, niliamua kabisa kutokumpenda mtu yeyote excessively. Hii ni kuepuka kuwaingiza matatani katika hii NJAMA ya MAISHA ambayo bado naitafakari ili niielewe vizuri.
Kama huamini jaribu kufuatilia wale wetu wanaopataga mafanikio ya ghafla,huwa wanalipa heavily kwa kupoteza ama wazazi, mke, mtoto au ampendaye. Wengine husingiziwa kwamba wamewatoa msukule au kafara lakini kumbe hata hawajui kuhusu hizo mambo. Nasema hili kama mtu ambaye nimefuatilia hili swala.
Ndugu yangu mmoja nae alikuwa POWER HUNGRY ni binti katika kutaka utajiri alikuwa na mdogo wake ambaye alikuwa na matatizo ya kiafya,ALIKUFA na watu wakasema kwamba wamemtoa SADAKA lakini mimi nikajua wale walikuwa wanampenda sana Ndugu yao na akadakwa(SADAKA INAYOUMA).
Rafiki yangu mwingine alikuwa POWER HUNGRY wakati anapambana kutoka kimaisha mara ghafla mama yake akaugua hatari.Aliponieleza nikajua tu tayari TAMAA yake ya MALI inataka SADAKA ni inataka impige panapouma. Nilichokifanya Nilimwambia watu wanasema unataka umtoe mama yako sadaka. Akasema ndio amesikia hayo maneno, nikamwambia stop hizo project zako zote focus kumtibia mama yako. Funga baadhi ya Biashara. Akafanya hivo. Hali ikawa tete, Baba yake akapata AJALI nusra AFE ila akapona. SASA hivi huyu bwana anaisha maisha modest kabisa na wazazi wake wako hai.
Juzi wakati wa uchaguzi rafiki yangu mmoja alitaka kugombea udiwani.Mwaka 2015 kura hazikutosha.This time kapata nafasi ili kabla hata kura za maoni mtoto wake alifariki.Mimi nilijua ila sikupata muda wa kuongea nae kumwambia kwamba kuna NJAMA inaendelea katika maisha yetu.
Kila mtu anaina ya PRICE atakayolipa ila tue ULTIMATE KEY NI WEWE. Katika kutafuta huwezi kujitoa wewe sadaka ila unaweza ukasacrifice baadhi ya starehe katika maisha yako. Mfano kuna matajiri au watu wenye mamlaka ambao unakuta ama wanakuwa imperfect life, imperfect family,wengine hawajui kuvaa, etc.Unakuta ni mtu mkubwa sana ila ndo hivo na kaudhaifu fulani ambako kanamtesa sana.Wengi hawajui kwamba the PRICE of THEIR POWER is the sacrifices they make.
Kwa mifano hio niliyotoa najua kuna ambao hawataelewa, ili jaribu kuangalia POWER hungry PEOPLE utakuta kuna PRICE wanalipa. Na hii ni watake au wasitake. Mimi naiita hii ni NJAMA ya MAISHA CONSPIRACY.
Karibuni tujadili mada ngumu hizi na kama umewahi kujikua wakati tu unataka kuinuka kibiasha/kimaisha ndo huwa unaweza poteza kile/yule unayempenda sana au unajikuta unatengeneza tabia ambayo inakutesa. Hata hivyo kuna njia ya kuepuka kulipa hiyo PRICE. Unaweza ukawa unaitumia bila kujua na ukajikuta una mafanikio na utajiri ila hujatoa SACRIFICE kubwa inayouma.
Wasalaam
PBK