Hiiiiiiii neyo natenayo licorona nene nali pisito nakalikoki nalidunda getegete!
Hiiiiiiii neyo natenayo licorona nene nali pisito nakalikoki nalidunda getegete!
Eli fisi lishenji gete! Lelentumbavu lelekuremba otuzolitwogwa litena ng'ombe,lele jizijizi neyo gete
We cheka tu mwenzio huku nateseka na baridiπ«Ikibinda Nkoi.....
Ahahahahahhahaaaaaaaaaa yuuuuuwiiiiiiii mbavu zangu mie jamenee mweehh....
Nimejikuta tu naimba wimbo wa mchakamchaka ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈ
...πΌπΌmwambie ....eeeeh mwambieeeee
Mweleze......eeh mwelezeee
Mpasulie....... e mpasulie eeee
mfungukie... eee mfungukieeeee
We cheka tu mwenzio huku nateseka na baridiπ«
Mi mnyamwezi ila haswa nimekaa nawasukuma kinyamwezi sikijui hata toneπ so naweza kukielewa kisukuma inshu kuongea usione nakiandika hapa coz nakifikiria kwanza makosa ni mengi tu nahisi ila wenyewe asilia wanavyokiongea huwa nacheka na napenda si unasikia rafuzi yao inasukuma sukuma tuππOoh pole KENZY, yale mashuka ya kimasai aka mgolole yatakufaa sana....
Wacha nifanye mapendo nikutumie kajua walau uliote kupunguza baridi.
Ila kumbe nawewe ni Ngosha, sasa mbona hukuniambia siku zote hizi.... Ujue mangosha wote ni ma handsome wakiongozwa na JIWE.....
aahahahahhaaaa don't quote me, simoooo....
Tunapima 2m distance na wife siku hizi mwendo wa karantini tuAahahahahaaa hii social distance imekuja wakati wa mfungo, umeisha kwaresma ramadhan inakaribia. Watu wakifunga wanakuwa sio active so social distance inatekelezeka tuu.
Hapo at home ndo sina uzoefu napo (living single).
Bebe nkoi nekage nke wane ati nshimbe uli ntumbafu alafu wewe ni lekabila nfyuuuuuuHiiiiiiii neyo natenayo licorona nene nali pisito nakalikoki nalidunda getegete!
Eli fisi lishenji gete! Lelentumbavu lelekuremba otuzolitwogwa litena ng'ombe,lele jizijizi neyo gete
Sawa nkima wane, ila mwambie kenzy akukome kabla sijamtumia masanva ya Gambishi naona hanijui vizuri πBhoojoooo ng'ambi ya mbiti tena....iiiggghh!!!
Mi ni matobholwa na makaranga duuhuu.
Bahati yake kwa kweli,Hahaha
This happened to me also....yan nilikuwa nikikuta like yake najikuta nasmile tu, qoute ndio usiseme . Kuna muda nawaza kumPM ila naona this isn't right nakausha.
He's no longer in my feelings/mind but any day I'll hit his PM just to say HI and tell him how he used to make my heart gone ting'aring'ari
No offence wapenda ligi, it was just a feelings π
Ahaaahaaa usimwite huyo acha nimnyooshe huyu kenzy msukusu wa kughushi halafu kutwa nzima anashindia chips kavu na sayona juice.
Bebe ginehe uli wahe?
LeloIgholooo...!!????
Hapana yaya gete li kenzy liti ngosha hata michembe haijui kabisa huyo nchilu nchilu mtumie tu kajua aote uck then akukomeee kabisa nkima waneOoh pole KENZY, yale mashuka ya kimasai aka mgolole yatakufaa sana....
Wacha nifanye mapendo nikutumie kajua walau uliote kupunguza baridi.
Ila kumbe nawewe ni Ngosha, sasa mbona hukuniambia siku zote hizi.... Ujue mangosha wote ni ma handsome wakiongozwa na JIWE.....
aahahahahhaaaa don't quote me, simoooo....
Yaani hapo hapo tuanze sasa paaaah nakutogwile getegetee πIiiggghhh naheneee, unapasuka mbavu mwenyewee tuu...
Tupasuke wote ndo vitamu kama matobholwa.