Your Likes Awakens my Veins

Your Likes Awakens my Veins

Mahaba ya kisukuma hayana masanva nakuja sasa nitakuombea sio kufukuza masanva bali nitakuombea uweze kucheza mbina ya ng'hambi ya mbiti 🥒😂

Bhoojoooo ng'ambi ya mbiti tena....iiiggghh!!!

Mi ni matobholwa na makaranga duuhuu.
 
Nimejikuta tu naimba wimbo wa mchakamchaka 🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♂️

...🎼🎼mwambie ....eeeeh mwambieeeee
Mweleze......eeh mwelezeee
Mpasulie....... e mpasulie eeee
mfungukie... eee mfungukieeeee
 
Hiiiiiiii neyo natenayo licorona nene nali pisito nakalikoki nalidunda getegete!

Eli fisi lishenji gete! Lelentumbavu lelekuremba otuzolitwogwa litena ng'ombe,lele jizijizi neyo gete

Ikibinda Nkoi.....

Ahahahahahhahaaaaaaaaaa yuuuuuwiiiiiiii mbavu zangu mie jamenee mweehh....
 
Nimejikuta tu naimba wimbo wa mchakamchaka 🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♂️

...🎼🎼mwambie ....eeeeh mwambieeeee
Mweleze......eeh mwelezeee
Mpasulie....... e mpasulie eeee
mfungukie... eee mfungukieeeee

Nshamwambia aiseeh sikaagi na kidonda kooni.
 
We cheka tu mwenzio huku nateseka na baridi😫

Ooh pole KENZY, yale mashuka ya kimasai aka mgolole yatakufaa sana....

Wacha nifanye mapendo nikutumie kajua walau uliote kupunguza baridi.

Ila kumbe nawewe ni Ngosha, sasa mbona hukuniambia siku zote hizi.... Ujue mangosha wote ni ma handsome wakiongozwa na JIWE.....

aahahahahhaaaa don't quote me, simoooo....
 
Mi mnyamwezi ila haswa nimekaa nawasukuma kinyamwezi sikijui hata tone😞 so naweza kukielewa kisukuma inshu kuongea usione nakiandika hapa coz nakifikiria kwanza makosa ni mengi tu nahisi ila wenyewe asilia wanavyokiongea huwa nacheka na napenda si unasikia rafuzi yao inasukuma sukuma tu😂😂
 
Aahahahahaaa hii social distance imekuja wakati wa mfungo, umeisha kwaresma ramadhan inakaribia. Watu wakifunga wanakuwa sio active so social distance inatekelezeka tuu.

Hapo at home ndo sina uzoefu napo (living single).
Tunapima 2m distance na wife siku hizi mwendo wa karantini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha
Hiiiiiiii neyo natenayo licorona nene nali pisito nakalikoki nalidunda getegete!

Eli fisi lishenji gete! Lelentumbavu lelekuremba otuzolitwogwa litena ng'ombe,lele jizijizi neyo gete
Bebe nkoi nekage nke wane ati nshimbe uli ntumbafu alafu wewe ni lekabila nfyuuuuuu
 
Bhoojoooo ng'ambi ya mbiti tena....iiiggghh!!!

Mi ni matobholwa na makaranga duuhuu.
Sawa nkima wane, ila mwambie kenzy akukome kabla sijamtumia masanva ya Gambishi naona hanijui vizuri 😒
 
Hahaha

This happened to me also....yan nilikuwa nikikuta like yake najikuta nasmile tu, qoute ndio usiseme . Kuna muda nawaza kumPM ila naona this isn't right nakausha.
He's no longer in my feelings/mind but any day I'll hit his PM just to say HI and tell him how he used to make my heart gone ting'aring'ari

No offence wapenda ligi, it was just a feelings 🙈
Bahati yake kwa kweli,
 
Haiwezekani aiseeeh

Ngoja nimuite nyama ya hamu.....

Kiranga aingilie kati iiigghhhhhh
Ahaaahaaa usimwite huyo acha nimnyooshe huyu kenzy msukusu wa kughushi halafu kutwa nzima anashindia chips kavu na sayona juice.

Hapana siwezi kumsamehe kwanza hafai getegetee
 
Ooh pole KENZY, yale mashuka ya kimasai aka mgolole yatakufaa sana....

Wacha nifanye mapendo nikutumie kajua walau uliote kupunguza baridi.

Ila kumbe nawewe ni Ngosha, sasa mbona hukuniambia siku zote hizi.... Ujue mangosha wote ni ma handsome wakiongozwa na JIWE.....

aahahahahhaaaa don't quote me, simoooo....
Hapana yaya gete li kenzy liti ngosha hata michembe haijui kabisa huyo nchilu nchilu mtumie tu kajua aote uck then akukomeee kabisa nkima wane
 
Back
Top Bottom