Haha actually I do, and I real like but umri unanitupa mkono ππHahahahha Depal do you love dancing?
Akili yangu imekwama hapo kwenye... Ting'a ring'aring shabaranksii kapuyy kapuyy ...........
Aahahahahhaaa nimevuta picha hivyo ulivyo kwenye avatar yako na ulivyovyaa unacheza huo wimbo aaahahaahhaaa
Vidume vitajikuta vinagombania kuswing pembeni yako tuu.
Well back to the topic, it's all about feeling good. Hii itakuwa na uzi wake.
Mwenzako licha ya kufungua huu uzi hapa na sijamtaja kwasababu maalum, Ila nilishamwambia huko na huko tunakowasiliana. Nnakatabia kangu hako, nikiwa na kitu na nnanfasi nakisema bila kukikawiza mradi tuu kisiwe na madhara kwangu wala kwa mhusika.
Sana tuNi kweli humu kuna watu wakilike comments zako au post unapata raha mpaka.
Bebe nang'ooo!
Neleho nalelya mangoko, manyama, mandege.Bebe... Ulihoo!!???
Kineheee luluu..
Nagawiza gawizaa bebe.
Lekaga wi komya bahebu uligwa!!Neleho nalelya mangoko, manyama, mandege.
Ole chiza gete? Pye banamhala bale chiza?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Feel free life is too short, special moment differ everytime,click when you have toHaha actually I do, and I real like but umri unanitupa mkono [emoji3][emoji3]
Can't wait for that thread " it's all about feeling good" nije kushusha ma experience [emoji125] thoe it needs courage to express out some of our feelings binafsi siwezi, niko na aibu kiasi (kuna baadhi ya feelings kuziwasilisha inakuwaga ngumu eeh
Hata huyu crush sikuthubutu hata PM ya salamu, kila nikijaribu nashindwa naishia kufuta nilichoandika then kuzima data na kuweka simu kando.
Gawiza, naleho ha karantini ha kaya henaha.Bebe nimehorojeka horohoro..
Nashindwa hata kuandika.
Mwadela gawiza..!!