Your Likes Awakens my Veins

Your Likes Awakens my Veins

Ila wasukuma na jamii zake nao wamenishika pabaya aiseeh.

Yaani nikisikia tuu mwanaume ananiongelesha kisukuma aidha kwa sauti au maandishi, hata kama simfahamu najikuta tuu nshamtabasamia....

Usinune na kuhuzunika mwanawanne, Kasinde ni bibi Mahaba aahahahahaa.

Kineheee bhaabhaa....!!?
Mhola mayu nayega

Mhola mayu nayega noo kwigwa uli na buyegii kuli nene

Ahahaaa, 😂
 
Wacha weeh
Hahaha

This happened to me also....yan nilikuwa nikikuta like yake najikuta nasmile tu, qoute ndio usiseme . Kuna muda nawaza kumPM ila naona this isn't right nakausha.
He's no longer in my feelings/mind but any day I'll hit his PM just to say HI and tell him how he used to make my heart gone ting'aring'ari

No offence wapenda ligi, it was just a feelings 🙈
 
Mhola mayu nayega noo kwigwa uli na buyegii kuli nene

Ahahaaa, 😂

Iiigghhh sasa wee bhaabhaa ndo umeamua kunimaliza na silaha zootee wakati unajua mashine za kupumulia ziko chache....

Unataka nikufee eeehhh mweeeh....

Si unajua kilugha kinanilainisha na kunipagawisha hadi nashindwa kujibu....

Ndo uje unibheebhee sasa, nimedondoka kama gunia, puuuh!!! Aahahahahahaa.
 
Fisi toka lini akauachia mfupa..??

Nene naleho baby wane!
Elibaridi lelenitwanga getegete..!

Aaahahahahahhahaaaa mnanipasua mbavu hakyanani....

Sio tuu Fisi naona mmekuja na Kambi ya Fisi kabisaaa aahahahahaaa

Iiiggghhhh bheeebhee, weee twangaa tuu getegetee mi nitapepetaa....aahahahahahaaa.

Karibu Mahama na Mantonga
 
Ntakuja usiku ila usikimbie maana na baridi hili "NITAWEKA GETEGETE"😜
 
Hahaha

This happened to me also....yan nilikuwa nikikuta like yake najikuta nasmile tu, qoute ndio usiseme . Kuna muda nawaza kumPM ila naona this isn't right nakausha.
He's no longer in my feelings/mind but any day I'll hit his PM just to say HI and tell him how he used to make my heart gone ting'aring'ari

No offence wapenda ligi, it was just a feelings [emoji85]
Goodfeelings...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahahahahahhahaaaa mnanipasua mbavu hakyanani....

Sio tuu Fisi naona mmekuja na Kambi ya Fisi kabisaaa aahahahahaaa

Iiiggghhhh bheeebhee, weee twangaa tuu getegetee mi nitapepetaa....aahahahahahaaa.

Karibu Mahama na Mantonga
Nakuja mami
 
Nalibona utali nyanda leka nize unene namhala nekage getegetee u nkima wane nantogwile hanuma anitogwile getegetee twitogilwe 😂
 
Iiigghhh sasa wee bhaabhaa ndo umeamua kunimaliza na silaha zootee wakati unajua mashine za kupumulia ziko chache....

Unataka nikufee eeehhh mweeeh....

Si unajua kilugha kinanilainisha na kunipagawisha hadi nashindwa kujibu....

Ndo uje unibheebhee sasa, nimedondoka kama gunia, puuuh!!! Aahahahahahaa.
Mahaba ya kisukuma hayana masanva nakuja sasa nitakuombea sio kufukuza masanva bali nitakuombea uweze kucheza mbina ya ng'hambi ya mbiti 🥒😂
 
Back
Top Bottom